Hakuna hujuma zizote serikali haishindwi na kitu chochote wakitaka watayaliza wasipotaka yataendelea mpaka tuyamalize wenyewe
Hii ni sahihi kabisa.Kwa Sasa tupo kwenye state capture. Mahakama, bunge, jeshi , serikali na chama Cha mapinduzi vimeungana kuruhusu udhalimu.
Hii ni sahihi kabisa.
Imani nalo hawana ila bado linamsaada..Jeshi la Polisi limezidiwa nguvu?
..Jeshi la Polisi linafuga wahalifu?
..Jeshi la Polisi linahujumiwa?
..Wananchi wataendelea kuwa na imani na jeshi la Polisi?
Imani nalo hawana ila bado linamsaada
Jeshi la polisi ni vyombo cha chama, kama ilivyo kwa taasis nyiingine za serekali...Jeshi la Polisi limezidiwa nguvu?
..Jeshi la Polisi linafuga wahalifu?
..Jeshi la Polisi linahujumiwa?
..Wananchi wataendelea kuwa na imani na jeshi la Polisi?
Hawjazidiwa nguvu wala maarifa ila wanatekeleza maagizo wanayo pewa, Hebu niambie unadhani Jeshi la POLISI hawajui mtu aliye mpiga lisasi Tundulisi, au unaweza kuniambia Jeshi la PT alijui aliye mmuua ALY kibao, au unadhani Jeshi la POLISI alimjui aliye mteka Sativa. Haya mambo waachie tu wenyewe yatakuumiza kichwa Bure...Polisi wamesalimu amri, au wamezidiwa maarifa na genge la watekaji na wauwaji? Nini kinaendelea?
Tunaongozwa na wahuni.Hawjazidiwa nguvu wala maarifa ila wanatekeleza maagizo wanayo pewa, Hebu niambie unadhani Jeshi la POLISI hawajui mtu aliye mpiga lisasi Tundulisi, au unaweza kuniambia Jeshi la PT alijui aliye mmuua ALY kibao, au unadhani Jeshi la POLISI alimjui aliye mteka Sativa. Haya mambo waachie tu wenyewe yatakuumiza kichwa Bure.
Vyombo vya dola hivi hivi ndiyo vinatumika kihalifuNi wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Mifano halisi ya vitendo vya kihalifu vinavyoendela nchini na visivyozingatia sheria ni pamoja na...Hawjazidiwa nguvu wala maarifa ila wanatekeleza maagizo wanayo pewa, Hebu niambie unadhani Jeshi la POLISI hawajui mtu aliye mpiga lisasi Tundulisi, au unaweza kuniambia Jeshi la PT alijui aliye mmuua ALY kibao, au unadhani Jeshi la POLISI alimjui aliye mteka Sativa. Haya mambo waachie tu wenyewe yatakuumiza kichwa Bure.
Ni bora kabisa wamalizane wao wenyewe huko huko, kuliko kuwaonea wananchi wasio weza kujitetea...Singida ameuwawa mwanachadema ambaye kaka yake ni mwanajeshi.
..hali ikiendelea namna hii atakuja kutekwa, au kuuwawa, askari Polisi, Tiss, au hata mwanajeshi.
..sasa ni ama vyombo vyetu vikubali kuwa wanyonge kwa genge la Ccm, au vichukue hatua.
Chadema ni chama cha wachaga...Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Mifano halisi ya vitendo vya kihalifu vinavyoendela nchini na visivyozingatia sheria ni pamoja na...
CCM hakika ipewe maua yake kwa kuweza kusimamia utekelezaji wa uovu wote huu kwa usiri, ari, nguvu, ujasiri, ufanisi na kwa mafanikio makubwa na kuwatupia lawama wasiohusika!
- Utekaji, utesaji na mauaji.
- Wizi, udokozi na rushwa
- Kuminywa kwa uhuru na haki.
Cha ajabu ni kwamba pamoja na kusimamia vyombo vyote vya utawala kwa nyakati zote toka tupate uhuru, CCM inapataje ujasiri wa kutoa lawama kwa wasio na uwezo wala nguvu kama zao?
Na hata Mh. Tundu Lissu awali walituhumiwa Chadema kutaka kumuuwa! CCM hakika ni wahuni! Kwa sasa Makala kila akifungua domo lake ni Chadema, Chadema, Chadema...
- Mwangosi awali walituhumiwa Chadema,
- Wangwe awali walituhumiwa Chadema
- Saanane awali walituhumiwa Chadema,
- Ally Kibao awali walituhumiwa Chadema
- Listi ni ndefu....
Kila kitu kimejulikana..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Huyo aliye na Samia naye ni Mchaga?
Haiyumkini wewe ni njagu au mgambo! Weka ushahidi usiotia shaka juu ya ubora wa jeshi la polisi kidunia na nchi ziliwahi kuonba msaada wao hapa vinginevyo waombe wasomaji msamaha!Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.
Kwahiyo unamashaka na Jeshi letu kuwa ni la vilazaHaiyumkini wewe ni njagu au mgambo! Weka ushahidi usiotia shaka juu ya ubora wa jeshi la polisi kidunia na nchi ziliwahi kuonba msaada wao hapa vinginevyo waombe wasomaji msamaha!
Falsafa ya Plato kuhusu philosopher kings inatufundisha kuwa viongozi bora ni wale wenye akili kubwa, maarifa, na maadili mema. Plato alisisitiza kuwa uongozi bora unapaswa kuwa mikononi mwa watu wenye hekima, wanaotanguliza maslahi ya umma badala ya matakwa binafsi. Watu wajinga, wapenda mali, na wasiokuwa na maadili hawastahili kushika madaraka, kwa sababu wanaweza kugeuza nafasi hizo kuwa majukwaa ya ukandamizaji, ulafi, na ubadhirifu wa rasilimali za taifa...Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Umelewa nini? Jeshi la polisi liko top ten duniani, ni top ten ya utekaji nini? Yaani unatuambia kama watu tusiojua lolote, ila tunasubiri ww utulishe huu upotoshaji wako.Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.