Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

Hakuna hujuma zizote serikali haishindwi na kitu chochote wakitaka watayaliza wasipotaka yataendelea mpaka tuyamalize wenyewe

..Jeshi la Polisi limezidiwa nguvu?

..Jeshi la Polisi linafuga wahalifu?

..Jeshi la Polisi linahujumiwa?

..Wananchi wataendelea kuwa na imani na jeshi la Polisi?
 
Imani nalo hawana ila bado linamsaada
 
..Jeshi la Polisi limezidiwa nguvu?

..Jeshi la Polisi linafuga wahalifu?

..Jeshi la Polisi linahujumiwa?

..Wananchi wataendelea kuwa na imani na jeshi la Polisi?
Jeshi la polisi ni vyombo cha chama, kama ilivyo kwa taasis nyiingine za serekali.
Kwakifupi serekali ni CCM na CCM ni serekali.
 
..Polisi wamesalimu amri, au wamezidiwa maarifa na genge la watekaji na wauwaji? Nini kinaendelea?
Hawjazidiwa nguvu wala maarifa ila wanatekeleza maagizo wanayo pewa, Hebu niambie unadhani Jeshi la POLISI hawajui mtu aliye mpiga lisasi Tundulisi, au unaweza kuniambia Jeshi la PT alijui aliye mmuua ALY kibao, au unadhani Jeshi la POLISI alimjui aliye mteka Sativa. Haya mambo waachie tu wenyewe yatakuumiza kichwa Bure.
 
Tunaongozwa na wahuni.
 
Mifano halisi ya vitendo vya kihalifu vinavyoendela nchini na visivyozingatia sheria ni pamoja na...
  1. Utekaji, utesaji na mauaji.
  2. Wizi, udokozi na rushwa
  3. Kuminywa kwa uhuru na haki.
CCM hakika ipewe maua yake kwa kuweza kusimamia utekelezaji wa uovu wote huu kwa usiri, ari, nguvu, ujasiri, ufanisi na kwa mafanikio makubwa na kuwatupia lawama wasiohusika!

Cha ajabu ni kwamba pamoja na kusimamia vyombo vyote vya utawala kwa nyakati zote toka tupate uhuru, CCM inapataje ujasiri wa kutoa lawama kwa wasio na uwezo wala nguvu kama zao?
  • Mwangosi awali walituhumiwa Chadema,
  • Wangwe awali walituhumiwa Chadema
  • Saanane awali walituhumiwa Chadema,
  • Ally Kibao awali walituhumiwa Chadema
  • Listi ni ndefu....
Na hata Mh. Tundu Lissu awali walituhumiwa Chadema kutaka kumuuwa! CCM hakika ni wahuni! Kwa sasa Makala kila akifungua domo lake ni Chadema, Chadema, Chadema...
 
..Singida ameuwawa mwanachadema ambaye kaka yake ni mwanajeshi.

..hali ikiendelea namna hii atakuja kutekwa, au kuuwawa, askari Polisi, Tiss, au hata mwanajeshi.

..sasa ni ama vyombo vyetu vikubali kuwa wanyonge kwa genge la Ccm, au vichukue hatua.
Ni bora kabisa wamalizane wao wenyewe huko huko, kuliko kuwaonea wananchi wasio weza kujitetea.
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Chadema ni chama cha wachaga.
 
Mifano halisi ya vitendo vya kihalifu vinavyoendela nchini na visivyozingatia sheria ni pamoja na...
  1. Utekaji, utesaji na mauaji.
  2. Wizi, udokozi na rushwa
  3. Kuminywa kwa uhuru na haki.
CCM hakika ipewe maua yake kwa kuweza kusimamia utekelezaji wa uovu wote huu kwa usiri, ari, nguvu, ujasiri, ufanisi na kwa mafanikio makubwa na kuwatupia lawama wasiohusika!

Cha ajabu ni kwamba pamoja na kusimamia vyombo vyote vya utawala kwa nyakati zote toka tupate uhuru, CCM inapataje ujasiri wa kutoa lawama kwa wasio na uwezo wala nguvu kama zao?
  • Mwangosi awali walituhumiwa Chadema,
  • Wangwe awali walituhumiwa Chadema
  • Saanane awali walituhumiwa Chadema,
  • Ally Kibao awali walituhumiwa Chadema
  • Listi ni ndefu....
Na hata Mh. Tundu Lissu awali walituhumiwa Chadema kutaka kumuuwa! CCM hakika ni wahuni! Kwa sasa Makala kila akifungua domo lake ni Chadema, Chadema, Chadema...
20240611_190310.jpg
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Kila kitu kimejulikana
 
Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.
Haiyumkini wewe ni njagu au mgambo! Weka ushahidi usiotia shaka juu ya ubora wa jeshi la polisi kidunia na nchi ziliwahi kuonba msaada wao hapa vinginevyo waombe wasomaji msamaha!
 
Kwahiyo unamashaka na Jeshi letu kuwa ni la vilaza
 
UVCCM na TISS acheni kuua vijana wa kitanzania kisa tu kutofautiana mtazamo & itikadi.
Haiwezekeni nchi nzima ya watu 70m tuwe na mtazamo mmoja wa ki CCM.
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Falsafa ya Plato kuhusu philosopher kings inatufundisha kuwa viongozi bora ni wale wenye akili kubwa, maarifa, na maadili mema. Plato alisisitiza kuwa uongozi bora unapaswa kuwa mikononi mwa watu wenye hekima, wanaotanguliza maslahi ya umma badala ya matakwa binafsi. Watu wajinga, wapenda mali, na wasiokuwa na maadili hawastahili kushika madaraka, kwa sababu wanaweza kugeuza nafasi hizo kuwa majukwaa ya ukandamizaji, ulafi, na ubadhirifu wa rasilimali za taifa.

Hali halisi mara nyingi imeonyesha jinsi wajinga wanavyoweza kushika madaraka na kutumia vibaya mamlaka yao. Badala ya kuzingatia maendeleo ya jamii, viongozi wa aina hii huzingatia kulinda maslahi yao kwa gharama yoyote. Matokeo yake ni kwamba wanatumia vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa kutekeleza mauaji, utekaji, na vitendo vya kikatili dhidi ya wale wanaowakosoa, kuwashauri, au kushindana nao kwa njia za kidemokrasia. Kwao, madaraka ni njia ya kujilimbikizia mali na kuhujumu haki za wananchi badala ya kuboresha maisha yao.

Matumizi ya vyombo vya dola katika vitendo hivi vya kikatili huwa na ukomo. Historia imetufundisha kwamba vyombo hivi, baada ya muda, huanza kuchoshwa na jukumu la kinyama la kuwakandamiza wananchi, hasa pale wanapolazimishwa kuwaua au kuwadhuru watu wao wa karibu kwa faida ya viongozi wachache. Wakati mwingine, wanapoanza kufahamu "utamu" wa madaraka kupitia nafasi zao za kiutendaji, maafisa wa vyombo vya dola huanza kugeuka dhidi ya waliowatuma, wakitafuta nafasi za kushika madaraka wenyewe.

Hali hii mara nyingi huchangia mapinduzi ya kijamii na kisiasa. Vyombo vya dola vinapopoteza imani kwa viongozi wanaowatuma, na wananchi wanapochoshwa na ukandamizaji, kunazuka hali ya machafuko ambayo mara nyingi huishia katika mabadiliko ya kiutawala kupitia njia za nguvu au mapinduzi ya kiraia.

Kwa sababu hizi, ni muhimu kuhakikisha kuwa madaraka hayashikwi na wajinga au watu wenye maslahi binafsi pekee. Jamii inapaswa kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na maadili, kuhakikisha kuwa viongozi ni watu wenye hekima, maono, na nia ya dhati ya kutumikia wananchi. Ni muhimu pia kudhibiti matumizi ya vyombo vya dola ili viendelee kuwa walinzi wa raia badala ya chombo cha kuendeleza ukandamizaji na ubinafsi wa wachache. Katika kufanya hivyo, tunaweza kujenga jamii yenye haki, maendeleo, na utulivu wa kweli
 
Ni kawaida sana vyama au utawala ukikaa madarakani muda mrefu na kupoteza ushawishi, huandaa vikundi vya kihalifu ili kutisha wananchi il kukiogopa. Vikundi hivi huteka wapinzani, kuwaacha na vilema vya kudumu, ama hata kuwaua. Walipofikia ccm ni lazima wawe na vikundi hivi.
Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.
Umelewa nini? Jeshi la polisi liko top ten duniani, ni top ten ya utekaji nini? Yaani unatuambia kama watu tusiojua lolote, ila tunasubiri ww utulishe huu upotoshaji wako.
 
Back
Top Bottom