Maelezo ya Isihaka Mchinjita na Tundu Lissu, yanaashiria CCM ina magenge ya kihalifu. Je, vyombo vya dola vitathubutu kuyakabili?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
34,188
Reaction score
62,952
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
 
Vyombo vya dola ipi hiyo mkuu?
Vya hapa Tanganyika ndio washirika wakuu wa hilo genge la uharifu au hukuiona video ya kumteka bonge na bado hivyo vyombo vinasema wale wahusika HAWAJULIKANI?
 
Hao ni akina nani? Umeandika kama vile kila mtu anawajua
 
AISEEE!
Vipi tena mkuu 'JokaKuu'!

..Singida ameuwawa mwanachadema ambaye kaka yake ni mwanajeshi.

..hali ikiendelea namna hii atakuja kutekwa, au kuuwawa, askari Polisi, Tiss, au hata mwanajeshi.

..sasa ni ama vyombo vyetu vikubali kuwa wanyonge kwa genge la Ccm, au vichukue hatua.
 
Ni kawaida sana vyama au utawala ukikaa madarakani muda mrefu na kupoteza ushawishi, huandaa vikundi vya kihalifu ili kutisha wananchi ili kukiogopa. Vikundi hivi huteka wapinzani, kuwaacha na vilema vya kudumu, ama hata kuwaua. Walipofikia ccm ni lazima wawe na vikundi hivi.
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Mkuu huo ushauri kwa dola iliyoungana na chama tawala si rahisi
Mi nnadhani Chadema na wahanga wengine wafanye kazi ya ziada.
. Wafanye uchunguzi binafsi wa wahusika kwakukusanya taarifa zao na uhusika wa kila mmoja kwenye uhalifu huo, kisha waziweke public kama walivyofanya kwenye list of shame.
Mfano. 1) Mr. Utajiju Mafwuere, male, 37yrs, mzaliwa litapwasi, mtumishi wa umma idara x, kitengo q.
Alihusika kwenye tukio la mauaji/ utekaji wa flan bin flan kwa ...............akishirikiana na.........
Wafanye uchunguzi na wawe na ushahidi na vielelezo makini ambavyo hata ukiwa ni kisimama mahakamani view na sifa za kupokelewa.
Ushahidi upelekwe kwenye vyombo vya habari ndani na nje, mahakamani wataenda kama watajwa wamepeleka kesi hizo.
Yahani wajitahidi bkuwa expose sana iwezekanavyo.
 
Mhalifu wa kwanza na viongozi wa hayo magenge ni wale kule juu
 
..ushauri mzuri.
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Police ndio magenge yenyewe, Police ndio walio kuwa wanatumiwa kuingiza kura fake vituoni
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Wale usalama walipopewa kinga ya kutoshtakiwa ndipo shida ilipoanzia
 
Mkuu huo ushauri kwa dola iliyoungana na chama tawala si rahisi
Mi nnadhani Chadema na wahanga wengine wafanye kazi ya ziada.
. Wafanye uchunguzi binafsi wa wahusika kwakukusanya taarifa zao na uhusika wa kila mmoja kwenye uhalifu huo, kisha waziweke public kama walivyofanya kwenye list of shame.
Mfano. 1) Mr. Utajiju Mafwuere, male, 37yrs, mzaliwa litapwasi, mtumishi wa umma idara x, kitengo q.
Alihusika kwenye tukio la mauaji/ utekaji wa flan bin flan kwa ...............akishirikiana na.........
Wafanye uchunguzi na wawe na ushahidi na vielelezo makini ambavyo hata ukiwa ni kisimama mahakamani view na sifa za kupokelewa.
Ushahidi upelekwe kwenye vyombo vya habari ndani na nje, mahakamani wataenda kama watajwa wamepeleka kesi hizo.
Yahani wajitahidi bkuwa expose sana iwezekanavyo.
Support!
 
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya uhalifu nchi nzima. Ni wakati sasa vyombo vya dola vikaingilia kati kupambana na magenge hayo.
Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.
 
Jeshi gani Bora?. Hili linalo Linda matapeli?. Nimefanya kazi na jeshi la polisi la Tanzania ni la hivyo Sana.
 
Vyombo vya Dola gani, Kata majeshi ya POLISI mahiri duniani Jeshi letu la POLISI lipo top ten. Ndiyo maana huoni nchi zozote kubwa duniani zikijaribu kulitilia mashaka Jeshi letu. Hakuna chochote kisicho julikana kwenye nchi hii, hata hayo mataifa makubwa pamoja nna interpol huwa wanakuja kuomba msaada wa wataalamu wetu wawasaidie kwenye baadhi ya kesi ngumu kwahiyo siyo Jeshi la kuelekezwa na mtu yoyote yule duniani ni Jeshi linalo jitambua,, na haya yanayotokea nchini mwetu si mageni kwenye Serikali za kiafrika, Kenya yanatokea, uganda yanatokea, Rwanda yanatokea, Burundi yanatokea, Nigeria na kwingineko kwingi.

..genge linalojihusisha na political violence linaelekea kuwazidi nguvu na maarifa polisi wetu. huenda kuna HUJUMA zinafanyika dhidi ya jeshi letu. hali hiyo ikiendelea tunaweza kufika mahali wananchi wakakosa imani na vyombo vyetu.
 
Hakuna hujuma zizote serikali haishindwi na kitu chochote wakitaka watayaliza wasipotaka yataendelea mpaka tuyamalize wenyewe
 
Back
Top Bottom