Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mkuu kutumia usafiri wa Uber, kimsingi Uber inalipia hiyo gharama yako ya safari ya kwanza,kwahiyo dereva hakutakiwa kujisikia vibaya maana Uber itamlipa hela yake. Ila kama ulivyosema kumtoa buku 2 ya maji sio vibaya, ni kama ulimpa tip(bakshishi)Nimepanda uber mara mbili nimepata faraja sana juu ya teknolojia, nilitumia promo code iliyotolewa hapa na mdau ya elf 6500 nilipandia kinondon facebook mpaka sinza kwa Remmy nikawa na wasaa mzuri wa kumhoji dereva mambo mbalimbali zikiwemo na changamoto zake, tulivyofika mwisho wa safari kuangalia anaona natakiwa nisimpe kitu! nikamweleza akanielewa mwisho wa siku nikamtoa buku 2 akanywe japo maji![emoji16][emoji16][emoji16] kwa maana alinipa maelezo mengi sana ya kujitosheleza
Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
Karibu sanaSiku nikija Dar ntajaribu usafiri wenu
Nimependa maelezo yako
Duu kweli umeivanataka niwe dereva wa uber nafanyeje?
Duu kweli umeiva
Lazima Uwe na gari uende uber wakaikague gari,kukupa masharti yao na kukusajili rasminataka niwe dereva wa uber nafanyeje?
shukrani.ofisi zao zipo wapi mkuu?Lazima Uwe na gari uende uber wakaikague gari,kukupa masharti yao na kukusajili rasmi
Uber haina magari, bali inaunganisha madereva na watu wanaohitaji usafiri. Kwahiyo ili usajiliwe kama dereva;inabidi uwe na gari(la binafsi au hata taxi), na leseni halali. Ukifika katika ofisi za Uber zilizopo Viva towers Posta, utaingizwa kwenye system na utapewa maelekezo zaidi. Karibu sananataka niwe dereva wa uber nafanyeje?
Posta, Jengo la Viva towersshukrani.ofisi zao zipo wapi mkuu?
asante sana .ngoja nianze misele. ila hakuna wateja wakorofi? yaani nimemfikisha halafu asinilipe? au napokea cash kwanza?Uber haina magari, bali inaunganisha madereva na watu wanaohitaji usafiri. Kwahiyo ili usajiliwe kama dereva;inabidi uwe na gari(la binafsi au hata taxi), na leseni halali. Ukifika katika ofisi za Uber zilizopo Viva towers Posta, utaingizwa kwenye system na utapewa maelekezo zaidi. Karibu sana
Ukimfikisha ndo anakulipa, usiwe na wasiwasi kuhusu wateja wakorofi. Unapomfikisha mteja, akikataa kukulipa/akishindwa kukulipa wala hautakiwi kubishana nae;tena unamwachia kabisa aende.Ila utareport directly Uber, nao watakulipa, then ndo watadeal na mteja kivyaoasante sana .ngoja nianze misele. ila hakuna wateja wakorofi? yaani nimemfikisha halafu asinilipe? au napokea cash kwanza?
ok hapo sawa . uber wanachukua sh ngapiUkimfikisha ndo anakulipa, usiwe na wasiwasi kuhusu wateja wakorofi. Unapomfikisha mteja, akikataa kukulipa/akishindwa kukulipa wala hautakiwi kubishana nae;tena unamwachia kabisa aende.Ila utareport directly Uber, nao watakulipa, then ndo watadeal na mteja kivyao