Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Eh sasa hapa maderava wakikosa wateja sio ndio watakapo tumia chance hii, yaani wata report kua mteja kanitoroka kumbe hakua na mteja wowote, au akamtumika rafiki yake na huyo rafiki akajifanya mkorofi wakati wa malipo kumbe ni deal Yao.
Huwa wanatrack mteja na dereva mkuu.Uber wako smart, sio rahisi kufanya hivyo
 
Huwa wanatrack mteja na dereva mkuu.Uber wako smart, sio rahisi kufanya hivyo
Kwa hiyo dreva atalipwa baada ya UBER kumtrack huyo mteja au kabla?
Maana naona kazi ya kumtrack mteja ni ngumu sana labda hizo taxi ziwe na camera. Ulaya ndio kuna taxi yingi zenye kamera na still ni ngumu kumfuatia mteja alietoroka au mteja mkorofi.
Labdamgefafanua kidogo ili atakaejiunga awe na idea zaidi
 
Ni hivi mkuu; Uber inamdhamini mteja endapo hatakulipa, yani wao watakulipa kisha watawasiliana na mteja kujua kwanini hakulipa, na atalipa deni next time akitumia uber. Asipoonyesha ushirikiano account yake itakuwa discontinued
 
Ukimfikisha ndo anakulipa, usiwe na wasiwasi kuhusu wateja wakorofi. Unapomfikisha mteja, akikataa kukulipa/akishindwa kukulipa wala hautakiwi kubishana nae;tena unamwachia kabisa aende.Ila utareport directly Uber, nao watakulipa, then ndo watadeal na mteja kivyao
Gari inayopaswa kutumika uber ni iwe na plate number ya commercial (kibao cheupe) au hata plate number private inaruhusiwa?
 
Ni hivi mkuu; Uber inamdhamini mteja endapo hatakulipa, yani wao watakulipa kisha watawasiliana na mteja kujua kwanini hakulipa, na atalipa deni next time akitumia uber. Asipoonyesha ushirikiano account yake itakuwa discontinued
nimekuelewa vizuri. Ukiagiza taxi inamaana tiari UBER wana information zako na number yako au sio hivyo?
 
Kila nikisearch sipati uberdriver kabisa au pengine nashindwa kuitumia app ipasavyo mkuu
Unataka kutumia usafiri wa uber kama msafiri au kama dereva? Ukitaka kuwa dereva kwanza fika ofisini Viva towers Posta; utapata maelezo zaidi.Ila kama msafiri search tu Uber,utaiona app ina icon ya rangi nyeusi
 
Uber imerahisisha sana maisha yangu

Nimetoka Ubungo stendi hadi Karume usiku wa saa saba kwa elfu nane
Hongera sana mkuu, endelea kutumia huduma ya Uber, na uwafahamishe na wengine pia waitumie
 
Utashangaa Dereva wa uber aliekuja kukuchukua ni scorpion mtoa macho wa buguruni utatokaje nduki!
Hahaha!hiyo sio rahisi mkuu.Madereva wanafanyiwa background check kujua kama hawajihusishi na mambo ya uhalifu
 
Niko Arusha huku haiko Uber naitamani sana ifike,nikisafiri kuja Dar es Salaam hii app inanisaidia sana maana ni mgeni wa jiji naenda kwa kufuata map nikitumia Uber najiona mwenyeji kabisaaa,hongera sana please wahini kuja huku atleast kwa kila jiji muweko, please sana sana sana
 
Back
Top Bottom