dricks
Senior Member
- Oct 13, 2017
- 186
- 109
25% ya kila nauliok hapo sawa . uber wanachukua sh ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
25% ya kila nauliok hapo sawa . uber wanachukua sh ngapi
mbona nyingi sana mkuu25% ya kila nauli
Sio nyingi ukizingatia kwamba ukiwa na taxi ya kawaida unaweza kupark asubuhi mpaka jioni ukapata mteja mmoja tu.Lakini kwa Uber unapata trips nyingi,hivyo hiyo 25% hutaona kama kubwa sanaok
mbona nyingi sana mkuu
Mkuu siwezi kukujibu ni lini hasa,kwasababu hata Dar-es-Salaam bado watu wengi hawajafahamu huduma hii kiasi cha kushawishi kuingia mikoa mingine, ila plans hizo zipoJe mnampango wa kufanya biashara hata mikoa mingine kama Dodoma?
Kama jibu ni ndiyo, mnatarajia kufanya mchakato huo lini?
Nasubiria jibu lako mkuuSio nyingi ukizingatia kwamba ukiwa na taxi ya kawaida unaweza kupark asubuhi mpaka jioni ukapata mteja mmoja tu.Lakini kwa Uber unapata trips nyingi,hivyo hiyo 25% hutaona kama kubwa sana
SawaMkuu siwezi kukujibu ni lini hasa,kwasababu hata Dar-es-Salaam bado watu wengi hawajafahamu huduma hii kiasi cha kushawishi kuingia mikoa mingine, ila plans hizo zipo
Kuna masharti ya aina ya gari na umri wa gari?Uber haina magari, bali inaunganisha madereva na watu wanaohitaji usafiri. Kwahiyo ili usajiliwe kama dereva;inabidi uwe na gari(la binafsi au hata taxi), na leseni halali. Ukifika katika ofisi za Uber zilizopo Viva towers Posta, utaingizwa kwenye system na utapewa maelekezo zaidi. Karibu sana
Kwa Maelezo haya hayanipi uhakika Wa usalama Wa kutosha.Kuhusu usalama wako;
Mkuu ili mteja atumie usafiri wa Uber lazima awe amejisajili kwa kutumia namba yake ya Simu, hivyo ni vigumu mtu kufanya uhalifu akijua namba yake ya simu imesajiliwa. Vilevile uber wana taarifa mbalimbali kama IMEI namba ya simu husika, hii inaweza kusaidia kumtrace mteja anapofanya uhalifu kama kuiba gari la dereva wa uber.
Kuhusu kujiunga na Uber kama una gari na dereva; hii unaweza ukafika ofisi za Uber, Viva towers Posta, ukapata maelezo zaidi
Mkuu...mm account yangu imefungwa kbs siwezi kutumia uber utanisaidiaje?Karibu ujiunge na app ya uber
Tatizo hilo huwa linatokea mara chache; naomba unitumie PM namba yako ya simu unayotumia kujisajili mkuuNyie uber hebu mnisaidie.
Mm nimepakua app yenu. Ila kila nikijisajili,inarudi mwanzo.
Yaan naweka namba ya simu,majina. Ile nikisema iendelee mbele,inarudi tena kwenye namba
Fanya hivi mkuu, hakikisha umeweka data ON na location ON. Pia hakikisha wakati wa kuinstall app ya uber ikikuomba permissions uiruhusuMm nime download app yenu ila kila nikiita gari inasema network error. Nime uninstall na install upya ila bado. Nahitaji msaada wenu
Mkuu hayo nimeyapokea ntayafikisha kwenye uongozi; ila kama ukigundua mtu anatumia gari yako bila idhini yako unaweza ukafika ofisi za Uber viva towers ukatoa taarifaMhe Dricks /Uber kwa kweli network yenu inasaidia jamii kwa hili swala la usafiri mjini, Tatizo limejitokeza baadhi ya madereva hasa wa watu binafsi , makampuni binafsi hata mashirika ya umma(yenye Private Numbe) wanachukua kadi za magari (bila ruhusa ya mwnye gari)na kuja kujisajiri kwenu na bahati mbaya sana nyie hamuulizi IDHINI YA MWENYE GARI na wazi kabisa mnaona jina la dereva ni tofauti kabisa na la mwenye gari (kadi) bado mnamsajili kwa kuituia hilo gari kibiashara dereva akitumwa mahala kikazi nyie mnampa abiria mnagawana hizo pesa na mwenye gari hana habari na hapati kitu. swali langu:
1. Je hauoni kwamba UBER imeshirikiana na huyo dereva kumuibia /kumuhujumu mwenye gari ?
2. Hivyo hivyo dereva tax alieajiriwa kwa mkataba na mwenye gari analeta dereva mwingine (DAIWAKA) nyie mkijuwa kabisa wao sio wamiliki wa hilo gari mnawasajiri hata wanne kwa gari mmoja la mtu mwingine ? ?
............Sorry niko busy ntaendelea baadae kidogo jibu hayo kwanza
Duuu kwamaana kwamba wew ukienda na driving licence yako na gari ya mtu yoyote unaingizwa kwenye system? No supportive documents za owner wa gariMhe Dricks /Uber kwa kweli network yenu inasaidia jamii kwa hili swala la usafiri mjini, Tatizo limejitokeza baadhi ya madereva hasa wa watu binafsi , makampuni binafsi hata mashirika ya umma(yenye Private Numbe) wanachukua kadi za magari (bila ruhusa ya mwnye gari)na kuja kujisajiri kwenu na bahati mbaya sana nyie hamuulizi IDHINI YA MWENYE GARI na wazi kabisa mnaona jina la dereva ni tofauti kabisa na la mwenye gari (kadi) bado mnamsajili kwa kuituia hilo gari kibiashara dereva akitumwa mahala kikazi nyie mnampa abiria mnagawana hizo pesa na mwenye gari hana habari na hapati kitu. swali langu:
1. Je hauoni kwamba UBER imeshirikiana na huyo dereva kumuibia /kumuhujumu mwenye gari ?
2. Hivyo hivyo dereva tax alieajiriwa kwa mkataba na mwenye gari analeta dereva mwingine (DAIWAKA) nyie mkijuwa kabisa wao sio wamiliki wa hilo gari mnawasajiri hata wanne kwa gari mmoja la mtu mwingine ? ?
............Sorry niko busy ntaendelea baadae kidogo jibu hayo kwanza
Eh sasa hapa maderava wakikosa wateja sio ndio watakapo tumia chance hii, yaani wata report kua mteja kanitoroka kumbe hakua na mteja wowote, au akamtumika rafiki yake na huyo rafiki akajifanya mkorofi wakati wa malipo kumbe ni deal Yao.Ukimfikisha ndo anakulipa, usiwe na wasiwasi kuhusu wateja wakorofi. Unapomfikisha mteja, akikataa kukulipa/akishindwa kukulipa wala hautakiwi kubishana nae;tena unamwachia kabisa aende.Ila utareport directly Uber, nao watakulipa, then ndo watadeal na mteja kivyao