Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Na risit za tra wanatoa? Maana sisi wengine ni wafanyakazi wa ofisini tunatakiwa turudishe risit kuonesha matembezi?
 
Na risit za tra wanatoa? Maana sisi wengine ni wafanyakazi wa ofisini tunatakiwa turudishe risit kuonesha matembezi?
Wanatoa risiti za kawaida zinazoonyesha details za trip yako na cost yake, unatumiwa kwenye email kila baada ya trip;risiti za TRA bado mkuu
 
Ofa hii isikupite, waambie ndugu, jamaa na marafiki kwamba sasa ukidownload app ya Uber, ukaingiza promocode ya ubertz5 utasafiri buree hadi umbali unaogharimu tsh 6200
 
Ukiwa kwenye harusi huna gari unakuwa kama mtumwa, yani mwenye gari akinyanyuka kwenda chooni na wewe unanyanyuka😉...Download Uber, usafiri high quality,full kiyoyozi, kwa nauli ya bodaboda. Na kama hii haitoshi ukiingiza promotion code ya ubertz5 unapewa nafasi ya kusafiri buree umbali unaogharimu hadi tsh6200
 
Mkuu weka namba zako, nna safari asubuhi hii.
 
Ofa hii isikupite, waambie ndugu, jamaa na marafiki kwamba sasa ukidownload app ya Uber, ukaingiza promocode ya ubertz5 utasafiri buree hadi umbali unaogharimu tsh 6200
 
mkuu nilicancel trip mara mbili uber wakani ban nifanyeje ili niendelee kufurahia uber?mana sijaona option ya kulipa online
 
mkuu nilicancel trip mara mbili uber wakani ban nifanyeje ili niendelee kufurahia uber?mana sijaona option ya kulipa online
Umekuwa banned, unaamanisha hata kusign in inakataa? au ukisign in unashindwa kurequest trip?
 
nashindwa kurequest trip mkuu.na sign in vizur tu
Nenda kwenye app ya Uber, nenda Menu nenda Your Trips, kisha chagua trip uliyocancel, chagua Problem with cancellation fee.Hapo utaweza kuondolewa hiyo cancellation fee, na utakuwa unBanned
 
Ofa hii isikupite, waaambie ndugu jamaa na marafiki, sasa ukidownload app ya uber, ukaingiza promocode ya ubertz5
Utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200; kama nauli yako ni zaidi ya 6200, basi utalipa kile kinachoongezeka tu
 
Sasa UBER inakuletea huduma ya uberPoa, ambapo utaweza kuagiza usafiri wa bajaji ambao ni bei rahisi zaidi kwa kutumia simu yako.uberPOA inapatikana maeneo ya Mwenge, Sinza, Kijitonyama, Mikocheni A, Mwananyamala, Kinondoni, Namanga, Msasani, Oysterbay, Masaki & Kigamboni ingawa huduma hii inasambaa maeneo mengi katika siku za baadaye.
 
Usisahau kuingiza promotion code ya ubertz5 ambayo inakupa nafasi ya kusafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200; kama nauli yako ni zaidi ya 6200, basi utalipa kile kinachoongezeka tu
 
Nenda kwenye app ya Uber, nenda Menu nenda Your Trips, kisha chagua trip uliyocancel, chagua Problem with cancellation fee.Hapo utaweza kuondolewa hiyo cancellation fee, na utakuwa unBanned
mkuu siioni hiyo option ya problem with cancellation fee!
 
What’s a 25% discount gonna do to me? You guys need to stop playing! For real!

6D675A15-9A65-4382-9C85-599E03404E25.jpeg
 
Si wanamaanisha vyuma kukaza isiwe sababu ya wewe kushindwa kula misele? Watakusaidia kufanikisha hilo kwa gharama nafuu. Ukata isiwe kikwazo, usikuzuie.
 
Back
Top Bottom