Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uber ni neno na kijerumani,halina kirefu tafsiri yake kwa kiswahili ni kitu kikuu au chenye hadhi ya juu.Nini maana ya kirefu cha neno Uber ?
Wanatoa risiti za kawaida zinazoonyesha details za trip yako na cost yake, unatumiwa kwenye email kila baada ya trip;risiti za TRA bado mkuuNa risit za tra wanatoa? Maana sisi wengine ni wafanyakazi wa ofisini tunatakiwa turudishe risit kuonesha matembezi?
Hapana mkuu, ila unaweza ukatumia credit card ukawa unakatwa moja kwa moja kwenye account yako ya bankSiwezi tumia Uber kwa bili? Maana usawa huu mkuu
Mkuu weka namba zako, nna safari asubuhi hii.Ukiwa kwenye harusi huna gari unakuwa kama mtumwa, yani mwenye gari akinyanyuka kwenda chooni na wewe unanyanyuka😉...Download Uber, usafiri high quality,full kiyoyozi, kwa nauli ya bodaboda. Na kama hii haitoshi ukiingiza promotion code ya ubertz5 unapewa nafasi ya kusafiri buree umbali unaogharimu hadi tsh6200
Samahani nimechelewa kuona post yako mkuu, nitafute kwa namba 0774638521Mkuu weka namba zako, nna safari asubuhi hii.
Umekuwa banned, unaamanisha hata kusign in inakataa? au ukisign in unashindwa kurequest trip?mkuu nilicancel trip mara mbili uber wakani ban nifanyeje ili niendelee kufurahia uber?mana sijaona option ya kulipa online
nashindwa kurequest trip mkuu.na sign in vizur tuUmekuwa banned, unaamanisha hata kusign in inakataa? au ukisign in unashindwa kurequest trip?
Nenda kwenye app ya Uber, nenda Menu nenda Your Trips, kisha chagua trip uliyocancel, chagua Problem with cancellation fee.Hapo utaweza kuondolewa hiyo cancellation fee, na utakuwa unBannednashindwa kurequest trip mkuu.na sign in vizur tu
mkuu siioni hiyo option ya problem with cancellation fee!Nenda kwenye app ya Uber, nenda Menu nenda Your Trips, kisha chagua trip uliyocancel, chagua Problem with cancellation fee.Hapo utaweza kuondolewa hiyo cancellation fee, na utakuwa unBanned
Mbona hueleweki weweWhat’s a 25% discount gonna do to me? You guys need to stop playing! For real!
View attachment 740228