Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mtetezi wa panyarodiNi mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi hawaoni na kuhakikisha kuwa kulikuwa na milio ya risasi.
Miaka ya nyuma, Zombe na wenzake walileta hadithi inayofanana na haya yanayoendelea....Kirahisi rahisi wafanyabiashara wakauawa, huku wakisingiziwa ni majambazi, hadi tume ilivyoundwa ikathibitisha kuwa wale ni wafanyabiashara waliopelekwa Mabwe pande na kuuliwa huko.
Sasa haya leo yameshamiri, polisi wanatatua matatizo yao kwa kuua, kwa nini wasiwashike? Kweli kuna asiye na akili akataka kupigana na panga na polisi walio na silaha kali? Katika kipindi cha wiki 3, watu/wananchi 19 wameshapoteza maisha mikononi mwa polisi. Maelezo yao polisi wetu hayaeleweki. Yaani ya kuunga unga tu!
Nani leo hii atawaamini polisi wanaoua watu wasio na makosa? Kwanini wasiwakamate washukiwa wa ujambazi ili waweze kuwataja wauaji wengine? Na mbona hawaonyeshi sehemu kulipokuwepo hayo mapambano? Wanaonyesha mapanga yenye damu (Polisi wanajua ukweli kuwa wanadanganya)
Polisi wetu hamna credibility, mnaua, mnatesa na kuumiza wananchi wasio na hatia. Hakuna anayewaamini kwa matendo yenu.
Halafu yanatokea mapumbavu yanawatetea Tena hao vibaka na wauajiWamewakamata wamewachoka. Polisi wamechangua njia inayofaa kuliko kuwajaza magereza
Kama unaona hakuna haja ya kutumia bunduki kwa panga, hao raia wanaovamiwa unadhani hawana hayo mapanga?? Hawajui kutumia mapanga??Panga kwa AK-47 wapi kwa wapi, hata mhalifu anaogopa hizo bunduki. Polisi wetu tuonyesheni mahali mlipowaua hao panya road au mlipopambana nao....Maana wananchi hawakuwaona. Je kama ni usiku mtuambia ilikuwa saa ngapi na kama mlipiga risasi juu, mbona majirani hawakusikia. Polisi...polisi....polisi.
Pongezi kwa jeshi letu la police Safi Sana uweni wote na ww pia inaonekana ni mfuasi wa panya road unastahili pu pu puuuNi mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi hawaoni na kuhakikisha kuwa kulikuwa na milio ya risasi.
Miaka ya nyuma, Zombe na wenzake walileta hadithi inayofanana na haya yanayoendelea....Kirahisi rahisi wafanyabiashara wakauawa, huku wakisingiziwa ni majambazi, hadi tume ilivyoundwa ikathibitisha kuwa wale ni wafanyabiashara waliopelekwa Mabwe pande na kuuliwa huko.
Sasa haya leo yameshamiri, polisi wanatatua matatizo yao kwa kuua, kwa nini wasiwashike? Kweli kuna asiye na akili akataka kupigana na panga na polisi walio na silaha kali? Katika kipindi cha wiki 3, watu/wananchi 19 wameshapoteza maisha mikononi mwa polisi. Maelezo yao polisi wetu hayaeleweki. Yaani ya kuunga unga tu!
Nani leo hii atawaamini polisi wanaoua watu wasio na makosa? Kwanini wasiwakamate washukiwa wa ujambazi ili waweze kuwataja wauaji wengine? Na mbona hawaonyeshi sehemu kulipokuwepo hayo mapambano? Wanaonyesha mapanga yenye damu (Polisi wanajua ukweli kuwa wanadanganya)
Polisi wetu hamna credibility, mnaua, mnatesa na kuumiza wananchi wasio na hatia. Hakuna anayewaamini kwa matendo yenu.
Jaribu uwakamate wewe. We unafaidika nao tunakujua. Subiri wakukamate wewe ili uwape ushirikianoKama wanaouawa ni panyaroad, ni sawa tu, maana wanapokea sawasawana matendo yao.
Fikiria familia zile zilizopoteza ndugu zao wasio na hatia. Fikiria waliojeruhiwa bila hatia.
Kama una ndugu yako ana mwelekeo wa upanyaroad, mkanye mapema sana.
Mkuu, na mimi shaka yangu ipo hapo. Je, waliwauwa walipowakamatia, au walienda kuwauwia sehemu nyingine? Isije kuwa hiyo kamata wanaijua wao polisi pekee!Panga kwa AK-47 wapi kwa wapi, hata mhalifu anaogopa hizo bunduki. Polisi wetu tuonyesheni mahali mlipowaua hao panya road au mlipopambana nao....Maana wananchi hawakuwaona. Je kama ni usiku mtuambia ilikuwa saa ngapi na kama mlipiga risasi juu, mbona majirani hawakusikia. Polisi...polisi....polisi.
Hakuna asiyefurahia panya rodi kutandikwa risasi, suala hapa hao wanaouawa na polisi ni panya rodi kweli?Msiombe mkutane the so called Panya road. Hawana huruma hata kidogo.
Wacha Polisi wawatandike vyuma ili wananchi tupumue.
Itoshe kusema una kichwa kigumu mno, nani katetea panya rodi? watu wanataka kujua hao wanaouawa ni panya rodi kweli? waliwakuta mtaa upi wakawaua? iweje walishindwa kuwakamata siku zote na intelijensia yao hadi walivyoua ndio wawakamate na kuwaua? hata mi nafurahi kusikia panya rodi wameuawaHalafu yanatokea mapumbavu yanawatetea Tena hao vibaka na wauaji
Vitendo vya polisi vijadiliwe na kupimwa kwa kulingana na PGO yao hapo tutawaweza lakini mkiwa mnawakosoa kwa kutumia harakati za kisisa hamuwawezi kamwe maana wana mbinu nyingi ijapokuwa sio zote zinaingia akilini.Ni mara nyingi sana inatokea kuona polisi wetu wakisimama kwenye podium kuzungumza na waandishi wa habari, wanachozungumza mara nyingi ni "watuhumiwa walipigwa risasi na wakafa wakikimbizwa hospitali" Wakati huo huo hakuna ushahidi wa polisi kushambuliana na hao wanaowaita wahalifu, wananchi hawaoni na kuhakikisha kuwa kulikuwa na milio ya risasi.
Miaka ya nyuma, Zombe na wenzake walileta hadithi inayofanana na haya yanayoendelea....Kirahisi rahisi wafanyabiashara wakauawa, huku wakisingiziwa ni majambazi, hadi tume ilivyoundwa ikathibitisha kuwa wale ni wafanyabiashara waliopelekwa Mabwe pande na kuuliwa huko.
Sasa haya leo yameshamiri, polisi wanatatua matatizo yao kwa kuua, kwa nini wasiwashike? Kweli kuna asiye na akili akataka kupigana na panga na polisi walio na silaha kali? Katika kipindi cha wiki 3, watu/wananchi 19 wameshapoteza maisha mikononi mwa polisi. Maelezo yao polisi wetu hayaeleweki. Yaani ya kuunga unga tu!
Nani leo hii atawaamini polisi wanaoua watu wasio na makosa? Kwanini wasiwakamate washukiwa wa ujambazi ili waweze kuwataja wauaji wengine? Na mbona hawaonyeshi sehemu kulipokuwepo hayo mapambano? Wanaonyesha mapanga yenye damu (Polisi wanajua ukweli kuwa wanadanganya)
Polisi wetu hamna credibility, mnaua, mnatesa na kuumiza wananchi wasio na hatia. Hakuna anayewaamini kwa matendo yenu.
Okay vizur,Sasa Kama unataka kujua maelezo yote hayo nenda pale central polisi, au pale makao makuu ya polisi ,Itoshe kusema una kichwa kigumu mno, nani katetea panya rodi? watu wanataka kujua hao wanaouawa ni panya rodi kweli? waliwakuta mtaa upi wakawaua? iweje walishindwa kuwakamata siku zote na intelijensia yao hadi walivyoua ndio wawakamate na kuwaua? hata mi nafurahi kusikia panya rodi wameuawa
Mimi naona kosa la polisi ni kutangaza, wawauwe kimyakimya na kuyaacha hapo vichakani wakaokotwe na ndugu zao.Wewe mbona unawapa Sumu Panya Buku wa nyumbani kwako ili wafe na unafurahi kwanini hao Panya Road wasiuwawe
Tatizo Kuna comments humu ni za panya road wenyewe na wazazi wao wanaonufaika na huu uporaji. Kwahiyo lazima walalamike tuu.Bahati mbaya sana hatujuagi tunataka nn.
Hao vibaka wanajulikana mitaani ila kuwatia hatiani kwa ushahidi wa matukio wanayofanya ni vigumu, mara nyingi wanakamatwa ushahidi unakosekana wanaachiwa.
Mtindo huu umesababisha maeneo kama Igogo Mwanza kuwa hatarishi kwa sababu watuhumiwa wanajulikana ila hakuna ushahidi wanaachiwa wanaendelea kufanya uporaji.
Wewe unajijua sio mualifu upo kwenye magenge ya kihalifu na uvutaji bangi unatafuta nn???
Unajua huna hatia unaombwa kujisalimisha unakimbia ili iweje???
Kama mzazi ameshindwa kumdhibiti mwanae wacha achezee risasi
Polisi waongeze kidogo, speed waliyonayo bado ni ndogo sana
Narudia Tena humu Kuna comments za panya roads na wazazi wanaonufaika na huu uporaji. Watawatetea tuu.Panga kwa AK-47 wapi kwa wapi, hata mhalifu anaogopa hizo bunduki. Polisi wetu tuonyesheni mahali mlipowaua hao panya road au mlipopambana nao....Maana wananchi hawakuwaona. Je kama ni usiku mtuambia ilikuwa saa ngapi na kama mlipiga risasi juu, mbona majirani hawakusikia. Polisi...polisi....polisi.
Ndiyo, kama si panya road ajitokeze ndugu yake atoe ushuhuda na majirani watoe ushuhuda kwamba alikuwa raia mwema na kazi yake ijulikane.Hakuna asiyefurahia panya rodi kutandikwa risasi, suala hapa hao wanaouawa na polisi ni panya rodi kweli?
Panyarodi wamevamia hadi JFNarudia Tena humu Kuna comments za panya roads na wazazi wanaonufaika na huu uporaji. Watawatetea tuu.
Kazi zao ni kuuwa watu?Mimi naona polisi wanafanya kazi yao kiufasaa, police waachwe wafanye kazi yao