Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?

Salama na usalama wa hao panya Road Ni kuacha kazi hiyo, Nje ya hapo watateketezwa wote, Kama wewe Ni mfadhili wao na wewe pia utasakwa na kuwajibishwa, watu wasio na Hatia hawawezi wakauawa, wakajeruhiwa, wakaporwa Mali zao halafu wabaki tu wanatambua mitaani, lazima wapitishwe katika tanuri la Moto na majuto, lazima wapitishwe katika njia ngumu, lazima waonyeshwe kwamba serikali IPO na haijawahi kulala na hawawezi kuishinda serikali hii ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani,
 
chuma ndiyo lugha pekee panya road wanayoielewa

safi sana jeshi la polisi
Mleta mada pengine hajawahi kuishi nyumbani kwake na panya . ni ngumu mno kumkamata panya akiwa hai . Mara nyingi inalazimika itumike sumu kuwaua but still hawaishi . Hao wahuni walipoamua kutumia title ya panya road walimaanisha .
 
Ndugu yangu yangu usiombe ukakakutana na hawa watu,wanaoitwa panya Road,watoto wa iblisi,na wengineo kama wao,utatamani ardhi ikumeze,hawana huruma kabisa,wala hawajali,kukupiga mapanga,visu,bisibisi.Usiombe kabisa.
 

Panya road wanapoua na kuwatia watu umaskini huleti uzi hapa kulalamika. Sasa wanakamatwa na kuuawa kama wanavyoua ndugu zetu , Tena wakiwa nao tayari kuua Askari watu wewe unaleta hadithi za kufikirika na kudhania. Embu waambie hao Vijana wako watulie.
 
Wewe mbona unawapa Sumu Panya Buku wa nyumbani kwako ili wafe na unafurahi kwanini hao Panya Road wasiuwawe
Mkuu una maana hao panya buku angewapeleka mahakamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna haja yakuwakamata wamalizane nao hukohuko mtaani
 
Hii ni vita mzee, kati ya wananchi na panya road, utatumia diplomasia kwa adui ambaye akikuwahi yeye anakuua?
 
Polisi wanawajua wote, sema bado walikua hawajapewa go ahead...
 

Utawakamata wote kama wanatinua mbio na una cha moto? Dawa yao ni kufyekwa, ndiyo kazi ya silaha!
 
Hili la polisi kuua panya road, Maelezo ya Polisi kuhusu Panya Road hayaeleweki. Kwanini wanaua na siyo kukamata? Je, ni yale yale ya akina Zombe yanajirudia?
watu wanapiga kelele utadhani haya mauaji ya polisi with impunity hawa polisi ndio wameanza leo!, hawakuanza leo, huu sio mwanzo, na wala huu sio mwisho unless something is done kuzifuta amri batil al-halal kama hii ya kwenye bandiko hili Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje?
P.
 

Naungana na wewe 100% Kama Polisi Kupitia Intelijinsia yao Wakajiridhisha Kuwatambua Oanya Road,Ni Kuwaua tuu,Hii ya Eti kuwakamata na Kuwafungulia Kesi haina Mashiko,Watatumia Kodi zetu bure na Kuzaja Magereza Tuu!
Kama Wanajiridhisha Kupitia Intelijinsia zao eg.Taarifa za Mabalozi wa Mtaa,Serikali za Mitaa na wao wenyewe Kuwajua No longway Wachezee chuma Tuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…