Machawa kaziniNimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Mtu sahihi kwa wakati usio sahihi, maana yake hakuna mtu hapo. Au siyo? Mbona umeandika kifalsafa na kiusanifu sana, mkuu?Mbowe is the right person in the wrong time .
Mbowe ni amefika kiwango chake cha mwisho he has nothing to offer
Akiendelea ataharibu .
Manake ndiyo kusema alijiandaa kwa yatokanayo?Wapiga dili wanajua sana kunyoosha maelezo
Hata mimi nilikuwa nafikiria hivyo ila baada ya kumsikiliza Wenje nimerudi nyuma na kuona Mbowe ana uwezo mkubwa zaidi wa kuiunganisha CHADEMA kuliko Lissu.Mbowe is the right person in the wrong time .
Mbowe ni amefika kiwango chake cha mwisho he has nothing to offer
Akiendelea ataharibu .
Ndo maana yake na tena kwa kinaManake ndiyo kusema alijiandaa kwa yatokanayo?
Mtu sahihi kwa wakati usio sahihi, maana yake hakuna mtu hapo. Au siyo? Mbona umeandika kifalsafa na kiusanifu sana, mkuu?
Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Kumtumia mtoto wa rais kwenye jambo lililopo kisheria ni hongo. Abdul alikwenda kuhonga ndo maana akakubali ata kwenda nyumbani wa lissu, Angekuwa ni kumsaidia tu angesema ukipona niletee au angetuma kijana dreva wake kwenda kuchukua hizo documents.Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Uko sahihi lakini kama maelezo anayosema Wenje kumuhusu Lissu katika sakata la Abdul ndivyo yalivyo kweli Lissu ataigawa vibaya sana CHADEMA.Yes Mbowe ukimchambua anaonekana ni MTU sahihi Ila wakati aliopo ndo sio sahihi.
Lissu anatembea na Wave (Wimbi) la watu wanaotaka kuona mabadiliko ya kweli na siasa za ushindani. Hivyo hawataki kumchambua na kuangalia weakness areas zake.
Hii ndo Kama ile 2015 - kuna watu wengi walipata ubunge na udiwani kupitia Wimbi la mabadiliko Ila katika uwezo walikuwa hawana uwezo wowote .
Means unaweza kuwa MTU sahihi Ila ukawa haupo katika wakati sahihi.
Mbowe inambidi aachie ngazi hii itamjengea Heshima sana. Asibishane na wakati
Yamenyoka lkn huyaweki hapa Ili na sisi tuyasikie. Lakini pia wewe ushachagua upande tangu muda mrefu kabla hata hujasikiliza hizo tuhuma.Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa.
Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu au faida zipi ukizingatia inaleta mgawanyiko sana ndani ya chama chake!
Nilikuwa nasubiria kwa shauku kumsikia Mbowe atajibu vipi tuhuma za watu wake kuhongwa pesa za Abdul lakini maelezo ya Wenje yamenyooka sana, yanatosha na naona yana ukweli mkubwa kuliko tuhuma za Lissu.
Uko sahihi lakini kama maelezo anayosema Wenje kumuhusu Lissu katika sakata la Abdul ndivyo yalivyo kweli Lissu ataigawa vibaya sana CHADEMA.