Maelfu wahudhuria Mazishi ya majenerali wa Iran waliouawa na Israel kwenye mapambano ya siku 12

Thousands line streets to mourn Iranian generals, nuclear scientists killed during war with Israel
By AP
Today, 8:34 am
Mourners gather in Enghelab Square to attend the funeral ceremony of the Iranian army generals, nuclear scientists and their family members who were killed in Israeli strikes, in Tehran, Iran, June 28, 2025. (AP Photo/Vahid Salemi)

DUBAI, United Arab Emirates — Thousands of mourners line the streets of downtown Tehran for the funeral of the head of the Islamic Revolutionary Guard Corps and other top commanders and nuclear scientists killed during a 12-day war with Israel.

The caskets of IRGC chief Gen. Hossein Salami, the head of the Guard’s ballistic missile program, Gen. Amir Ali Hajizadeh, and others are driven on trucks along the capital’s Azadi Street.

Salami and Hajizadeh were both killed on the first day of the war, June 13, as Israel launched a war it said was meant to destroy Iran’s nuclear program
wafia dini si walisema magenerali wapo hai sasa hao kina nani wanazikwa
 
Hakuna Jenerali hata mmoja wa IRAN aliekufa vitani. Majenerali na Wanasayansi wa nyuklia walikufa kwenye shambulio la kigaidi lililotekelezwa na ISRAL kwa msaada wa dady wake US kabla ya vita rasmi.
Nimeona niweke rekodi sawa hapo.
Israel sio magaidi kwani magaidi wanajulikana hata kwa mtoto wa chekechea.
 
Jamani si tuliambiwa ya kwamba majenerali wapo hai...au Ayatollah kaamua kuzika majenerali wakiwa hai?
Tumia kichwa kutafakari sio makalio.
Habari zilisema baadhi ya makamanda wapo hai sio wote.
Na majina walitajwa kama wawili ama watatu.
Shida magalatia mnapenda kupindisha habari.
 
Yeah Iran imeshinda vita.
Kufa kupo tu kama unaihudumia jeshi.
Mbaya zaidi Israel wametumia terrorism strike juu ya hao viongozi kwa kuwavizia usiku na kuwaua wakiwa wamelala na familia zao na kuwaua pamoja na raia wasio na hatia.
Licha ya hivyo nuclear imelindwa ,Israel amepigika maeneo muhimu mwishowe Israel akaomba CEASEFIRE.
Nadhani siku ingine Israel watakoma kumgusa muajemi.
 
Miaka yote unatamani kulifuta taifa la mazayuni kwenye uso wa dunia. Mwisho wa siku Mnyazi mungu anakupa fursa ya kummaliza adui yako na unaitumia kurusha makombora zaidi ya 500 na kati ya hayo asilimia 80 yanazuiliwa na yaliyopenya yanaleta madhara ambayo hayalingani hata na ajali ya hiace kule moshi juzi.Adui uliyemuwinda kwa zaidi ya miaka 20 anaomba ceaze fire bila condition yeyote na wewe na unacontrol vita unakubali kirahisi.
Kuna kitu hakipo sawa.
Tunaofanya deductive reasoning tunasema hivi.
Teknolojia ya ICBM na projectiles nyingine siyo effective kama Air to surface strikes na ndo maana Israel na mshikirika wake hawajaitumia kwenye vita hii na wala kule Ukraine na Urusi hawaitumii kwa sana.
Kama Iran angeshinda hii vita kwa kuleta madhara kwa mazayuni hata 200 waislamu wote wangeamdamana dunia nzima hasa wale wa ulaya kwa sababu siku zote wamekuwa wakiomba kifo kwa marekani na Israel (Hadi sasa ngoma ni kimya)
Tungeshihudia sherehe za nderemo na vifijo na Takbir za kuua mtu mashariki ya kati kuanzia kwa hamas,hizbullah na washirika wao (Hadi sasa kuko kimya)
Tungeshuhudia parade la mbwembwe za hatari mjini Tehran zikionesha missiles na silaha za hatari za masafa ya supersonic huku Ayatollah akitoa tambo za hatari akiwa kazungukwa na makamanda wake wakuu (Hadi sasa hilo halijafanyika)
Ukimya huu unaonesha kuna jambo haliko sawa kama ambavyo imezoeleka mjini Tehran na ulimwengu mzima wa kiislam.
Iran kalazimishwa kusurrender or else Ayatollah angemalizwa kwa sababu haiingii akilini adui unayetaka kumfuta duniani akuombe msamaha kizembe hivyo na wewe ukubali bila hata kumuwekea masharti.
Sisi tusioelimika tulitegemea Israel alivyoomba poo iran amlazimishe kutoka Gaza, Iran amlazimishe mzayuni kufungua mipaka watu wa Gaza wa pate huduma za kijamii na za kibinadamu, Iran amabaye kashinda vita amzuie Israel kutowashambulia washirika wake na mwisho kabisa tulitegemea Iran awaamuru washirika wa Israel na marekani waliotoa ardhi zao wazifunge kambi za maadui wake nchini mwao!
Hayo ni mawazo yangu kama mtu asiye na uelewa wa mambo
 
Duh mkuu kitendo cha kusema makombora 80% yamedunguliwa tayari imeonesha huna unalojua.

Iran imerusha makombora ya aina tofauti,pia utambue kipindi Iran inaishambulia Israel Jordan,UK na USA zilikua zikiisaidia Israel kuyadungua yale makombora.
Licha ya hizo nchi zote kusaidia Israel bado ilipigwa maana Iran ilianza kutumia highly precision guided hypersonic missile,hili miaka buku HUWEZI kulizuia.
Unasema kuwa madhara hayafananishwi hata na ajali ya hiace!?
Acha UTANI,ripoti zilitoka 1/3 ya majengo Tel Aviv yameharibika.
Haifa refinery oil plant imeharibiwa.
Kambi kadhaa za jeshi la ardhini na angani zimeharibiwa.
Ofisi nyingi za jeshi na serikali Israel zimeharibiwa.
Kituo cha tafiti za sayansi kimeharibiwa.
Mosad HQ imeharibiwa.
Bandari ya Haifa ambayo ndio bandari kubwa Israel imeharibiwa.
Kituo cha uwekezaji Israel kimeharibiwa.
Ofisi za Microsoft zimeharibiwa.

Ndugu hayo ni madhara madogo!??
Nakusihi fanya utafiti kabla hujaongea maana huwenda ukawa unaongopa bila kutarajia.

Mwishowe makombora ndio kitu sahihi na accurate kuliko ndege vita kwasababu zifuatazo;
-Ndege inahitaji maintenance Kila siku ambayo ni gharama kubwa,kwanza kuunda ndege ni gharama kubwa kuliko kombora,pili uendeshaji wa hiyo ndege maintenance yake ni kubwa.
-Ili kushambulia umbali wa 2000km+ ni lazima ndege ufanye refuelling,hapo ni gharama pia ni risky,maana ukipata nchi yenye ADS yenye nguvu umeteketea.
-Ina cost muda na maisha ya hao marubani.

Ufanisi wa kombora.
-Uundaji wake ni WA haraka na bei nafuu sana.
-Inachukua muda wa chini ya dakika 15 hadi kwenda kulipua lengo.
-Ukipata hypersonic missile hakuna ADS inayoweza kuizuia na itakua rahisi kumuangamiza mlengwa.
-Low cost of maintenance and running pia haihatarishi maisha ya mtumiaji maana ni kubofya tu kitufe ukiwa ndani.

Hii vita Israel imemgharimu $400 millions kwa Kila siku.
Iran imemgharimu hela ya chini sana hata $50 millions kwa siku hazifiki.

Umetudanganya sana,kisa Cha Netanyahu kuomba ceasefire ni kwasababu ISRAEL ILIKUA INAENDA KUTEKETEA INAGEUKA GAZA GRADUALLY.
 
Jamani si tuliambiwa ya kwamba majenerali wapo hai...au Ayatollah kaamua kuzika majenerali wakiwa hai?
Acha ujinga, kuna majenerali wawili amabao tulitangaziwa wameuwawa, wanekuja kujitokeza hadharani bado wapo hai. Kwani ulitangaziwa Israeli ilwauwa majenerali wate wa Iran?
 
Wewe unaongelea kubomoka majengo mie mwenzio naangalia idadi ya casualties.
Nambie nani na nani kuauwawa israel ni kwambie the same kwa Iran.
Nambie kambi zipi za jeshi israel zimelipuliwa nikwambie the same kwa Iran.
Houthi,hizbullah na Hamas hawajaingia mtaani kushangilia ushindi wa Iran wewe uko humu unaeneza taqqiya.
Tuliona jinsi ulimwengu ulivyoandamana kumlaani Israel wakati wa Gaza hatujaona the same people wakishangilia kushindwa kwa zayuni.
Ulimwengu unaendeshwa kwa pattern ndugu, matukio ninayoyataja si kwa bahati mbaya hayatoei.
Nashukuru kwa kutambua kuwa sina ninalolijua lakini ushahidi wa kimazingira unaikataa dhana yako wewe na wenzio
 
Huyu aliyeweka hu Uzi sio kama halijii hili analijua sana ila lengo lake awadanganye wajinga wenzake kuwa Israel ndio ilifanya vizuri katika vita
Bado sijaelewa unacho bishia; ni kwamba hawakufa..., sasa wanawazika kina nani?
 
Wewe unaongelea kubomoka majengo mie mwenzio naangalia idadi ya casualties.
Nambie nani na nani kuauwawa israel ni kwambie the same kwa Iran.
Nambie kambi zipi za jeshi israel zimelipuliwa nikwambie the same kwa Iran.
Houthi,hizbullah na Hamas hawajaingia mtaani kushangilia ushindi wa Iran wewe uko humu unaeneza taqqiya.
Tuliona jinsi ulimwengu ulivyoandamana kumlaani Israel wakati wa Gaza hatujaona the same people wakishangilia kushindwa kwa zayuni.
Ulimwengu unaendeshwa kwa pattern ndugu, matukio ninayoyataja si kwa bahati mbaya hayatoei.
Nashukuru kwa kutambua kuwa sina ninalolijua lakini ushahidi wa kimazingira unaikataa dhana yako wewe na wenzio
Unazidi kuongopa bro.
Unadhani Israel kwanini ilifanya news censorship?
Miongoni mwa kambi za jeshi zilizolipuliwa ni NEVATIM AIRBASE.
Unadhani Mossad kulikua hakuna mtu ilipolipuliwa!?
Israel ilificha madhara na kufanya news censorship.
Hizbollah na Hamas unawaingizaje hapa?
Ulitaka Dunia ishangilie kupigwa kwa Israel kwa mtazamo upi?
Hamas inapambana Gaza ulitaka washangilie vipi!?
Hizbollah walishaambiwa na serikali kuu ya Lebanon wasijihisishe ulitaka washangilie vipi?

Huna pa kujifichia na acha janja janja za kusema sijui natangaza taqqiyya,hazitakisaidia.
Ukweli uko pale pale Israel kapigika.
 
Jamani si tuliambiwa ya kwamba majenerali wapo hai...au Ayatollah kaamua kuzika majenerali wakiwa hai?
Ayatollah nyokooo sanaaaa vinu vinaoneshwa vimegongwaaa vilivyo marekan anasema hakuna madhara haha adabuu
 
walitaka wamalizane na ayatollah nikawazuia hapanaa kama sio mm ayatollah angekuwa mfu kwa sasa
Dk Trump
 
Unazidi kuongopa bro.
Unadhani Israel kwanini ilifanya news censorship?
Miongoni mwa kambi za jeshi zilizolipuliwa ni NEVATIM AIRBASE.
Unadhani Mossad kulikua hakuna mtu ilipolipuliwa!?
Israel ilificha madhara na kufanya news censorship.
Hizbollah na Hamas unawaingizaje hapa?
Ulitaka Dunia ishangilie kupigwa kwa Israel kwa mtazamo upi?
Hamas inapambana Gaza ulitaka washangilie vipi!?
Hizbollah walishaambiwa na serikali kuu ya Lebanon wasijihisishe ulitaka washangilie vipi?

Huna pa kujifichia na acha janja janja za kusema sijui natangaza taqqiyya,hazitakisaidia.
Ukweli uko pale pale Israel kapigika.
Bila kuwa biased,Iran hajapigwa popote?
 
Back
Top Bottom