Maelfu wamchangia Mbowe katika kampeni ya #MwambaTuvushe ya kumrejesha madarakani CHADEMA

Aliapa kufa akipigania demokrasia
 
Mbowe akiondoka chama kimekufa, akibaki chama kinakufa. Upinzani wana wakati mgumu sana kwa sababu wao ndio walishiriki inasemekana kwa kifo cha Wangwe, vile vile inasemekana TL ni wao walipanga. Kuna mengine pia wanasemekana walipanga na kula njama. Sitashangaa hata gawio la millioni 320 kila mwezi ambalo Mbowe et al wanatumia kama pesa za familia. Chadema = Mbowe family empire.
 
Kweli mwenye nacho huongezwa, huyu jamaa kapiga zaidi ya Billion 2 kutoka akaunti ya chama, lakin bado kuna baadhi ya vijana wenye mtindio wa ubongo wanataka kumchangia zingine tena du! Kua uyaone!
Ndiyo wamemchangia.Si hela yao? Wewe chakuuma nini?
 
Amina mtumishi wa Mungu
 
Asee mambo makubwa haya
 
Mimi ni ccm ila mbowe natamani agombee tena uenyekiti chadema.
 
Yeah, kabanwa kotekote, akibaki chama kinamfia mikononi mwake na itakuwa aibu kubwa, na akiondoka chama kinakufa tu coz ataondoa hisa zake zote ktk acc. ya chama, pesa ambazo zilisaidia sana kukijenga chama.
 
Porojo zenu watu washazichoka wala haziwasumbui tena.Tungeni kitu kipya
 
Molemo,
Wamelipwa hao hakuna kitu kama hiyo na mbowe ajiangalie chama kinamfia mikononi mwake ashauriwe tu kustaafu kwa heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…