Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Hii nchi kuna watu wapumbavu mpaka wanakera.
 
Bongo movies
FB_IMG_1727025426281.jpg
 
Aya mambo nilijua ni wanawake tu ona hadi wanaume wamepanga mstari asee. Ukiwa mwanaume ni kukomaa unarogwa ila una kaza kiume hadi mchawi ana baki kutoa macho
 
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Mwamposa ni Tapeli kama MATAPELI wengine tu,akili za wanaochukua huo Udongo zipo matakoni
 
Back
Top Bottom