Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Inaniuma sana nikiwaon wajinga wanaliwa


#wajinga ndo waliwao
 
Hali itakua mbaya zaidi kama CCM itaendelea kubaki madarakani chini ya utawala wa huyu akala wa shetani halisi .

KWANZA WANAWAKE WENGI WANA IMANI YA kishirikina .

Na vijana wengi wanalelewa na wanawake .
Wengi wanaobeba maudongo na lahirizi na wa wanawake hasa mashangazi wenye roho mbaya ,wakorofi ,wasioheshimu ndoa zao wala waume zao. Wakali wakiwa majumbani mwao . Wengi ni mbwa mwitu wakali . Hawana toba ya madhambi yao na kuacha dhambi bali waweka imani yao kwenye Vitu kama vitambaa na kuona kuwa kila wanachoambiwa na hawa manabii feki ni kweli . Hawajui kuwa yale wa wanayoonyeshwa ni maigizo na viini macho . Hawasikilizi mtu yeyote zaidi ya nabii . Kila kitu wanaamini hata wakiambiwa watembee uchi barabarani watatembea kama vile wanavyoambiwa na waganga wa kienyeji.

Kwa kweli Waganga wa kienyeji sasa wamehamia makanisani kwa wingi sana.
 
Wao wanaamini nguvu za MUNGU, ninyi mnaamni nguvu za waganga wa kienyeji, yupi alie Bora kati yako unayeamini uganga wa kienyeji na anayeamini mtumishi wa Mungu .
Mkuu hapo hakuna aliye afadhali uyo mwamposa mwenyewe ndio walewale mganga aliyechangamka niamini aisee namfahamu vzur tu mwamposa hizi karne za mwisho jamani watatokea manabii wa uongo ndio hawa kina mwamposa
 
Hujaona huko juu Kuna mtu anatetea? Huyo lazima atakuwa mfuasi.
Anasema eti Bora kwenda kwa mtumishi kuliko kwenda kwa mganga!
Sasa huyo mtumishi Ana tofauti gani na waganga😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio mana na mimi nimemchana hivi ni bora uende kwa mganga kabisa ujulikane umeenda kwa mganga kuliko unaenda kwa mwamposa ambae mganga aliyechangamka alafu anakutibu kwa kutamka jina la mungu uoni kuwa ni kumkosea sana mungu hatar sana aisee
 
Udongo wanachukua wao
Na mazao wanapata wao
Ila makasiriko mnapata huku jf ambao na nyie hamna lolote mjualo kuhusu Imani hiyo.
hayooooo manyumbuuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unauziwa udongo??????unaakili timamu wewe chizii wewe mkiristo
 
hayooooo manyumbuuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unauziwa udongo??????unaakili timamu wewe chizii wewe mkiristo
Kwani wanauza?
Nani kakuambia wanauza?

Hata wakiuziwa,na Kwa hiari yao wakanunua
Wewe kitu gani unaumia?
 
Inasikitisha kwamba hili TAIFA mpaka muda huu karne ya 21 kuna watu desin hii ndio maana Biil gate anataka kutuuwa anasema kuna watu hawana faida yyote ulimwenguni Dah Tanzania bado kuna majihili kiasi hichi hawa hata mavi utawauzia kweli tutafikaaaa.
 
Mwamaposa na kiboko ya wachawi wametofautiana nchi wanzotokea tu
 
Na hakunaga mafanikio ya miujiza

Ova
Kwamba “pokea gari,pokea nyumba“ just kwa kuitikia tu “amina amina”

Hivi hawa watu wanawaza na vichwa gani hawa?duniani wapumbavu hawaishi ni wengi mno na acha wapigwe.
 
Kwamba “pokea gari,pokea nyumba“ just kwa kuitikia tu “amina amina”

Hivi hawa watu wanawaza na vichwa gani hawa?duniani wapumbavu hawaishi ni wengi mno na acha wapigwe.
Wanacheza na akili za watu
Wanatumia matatizo ya watu
Kuwapiga


Ova
 
Mkuu hapo hakuna aliye afadhali uyo mwamposa mwenyewe ndio walewale mganga aliyechangamka niamini aisee namfahamu vzur tu mwamposa hizi karne za mwisho jamani watatokea manabii wa uongo ndio hawa kina mwamposa
Mbona watu wanatendewa, na wanatoa shuhuda? Ina maana hao maelfu na Malaki mpaka mamilioni ya watu wanao toa shuhuda wakiwemo waburundi wakenya watanzania mpaka wa USA kwamba wote ni waongo au?

Acheni ubishi wa kijinga usio na maana kama huna uhakika na unachokizungumza au kukiandika ni heri ukakaa kimya kuliko kuropoka
 
Tapeli Mwamposa
 
Shuhuda gan nyie mamburula mnajaza seva tu hapa, kwan mamposa na kiboko ya wachaw wana tofaut gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…