Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali itakua mbaya zaidi kama CCM itaendelea kubaki madarakani chini ya utawala wa huyu akala wa shetani halisi .Zamani kwenye miaka ya 90's tulizoea kuona watoto wa mjini (waisilamu?) wakiwa wamefungwa hirizi(transistor )kiunoni au mkononi.
Leo hii kibao kimegeuka hirizi wanatembea nazo wanawake wa kikristo kwenye pochi zao ama ni udongo, chumvi, mafuta, rozari, kitambaa nk zenye kunuiwa ni hirizi.
Neno la Yesu ni hili
'njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo, nami nitawapumzisha'
Sasa wamemwacha Yesu huku wakintaja tu kwa mtajo lakini tumaini lao wakiliweka kwa hirizi.
Ni aibu na ni ushahidi wa umasikini unaosababishwa na uwezo mdogo wa kupambanua mambo.
Mkuu hapo hakuna aliye afadhali uyo mwamposa mwenyewe ndio walewale mganga aliyechangamka niamini aisee namfahamu vzur tu mwamposa hizi karne za mwisho jamani watatokea manabii wa uongo ndio hawa kina mwamposaWao wanaamini nguvu za MUNGU, ninyi mnaamni nguvu za waganga wa kienyeji, yupi alie Bora kati yako unayeamini uganga wa kienyeji na anayeamini mtumishi wa Mungu .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio mana na mimi nimemchana hivi ni bora uende kwa mganga kabisa ujulikane umeenda kwa mganga kuliko unaenda kwa mwamposa ambae mganga aliyechangamka alafu anakutibu kwa kutamka jina la mungu uoni kuwa ni kumkosea sana mungu hatar sana aiseeHujaona huko juu Kuna mtu anatetea? Huyo lazima atakuwa mfuasi.
Anasema eti Bora kwenda kwa mtumishi kuliko kwenda kwa mganga!
Sasa huyo mtumishi Ana tofauti gani na waganga😂😂😂😂😂
Watu wajinga sanaMwamposa ni Tapeli kama MATAPELI wengine tu,akili za wanaochukua huo Udongo zipo matakoni
😂😂Udongo wa bwawa la mwalimu Nyerere la Rufiji,baada ya kumaliza kuchimba bwawa hilo wahandisi walikosa pa kuutupa Mwamposa akapita nao.
Huu ni uongoKuna testimony nyingi tu za watu kurudishiwa umeme A.K.A Power bank yaan mtu alistop kupiga mambo ila baada ya mafuta umeme ukarudi
hayooooo manyumbuuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unauziwa udongo??????unaakili timamu wewe chizii wewe mkiristoUdongo wanachukua wao
Na mazao wanapata wao
Ila makasiriko mnapata huku jf ambao na nyie hamna lolote mjualo kuhusu Imani hiyo.
Kwani wanauza?hayooooo manyumbuuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unauziwa udongo??????unaakili timamu wewe chizii wewe mkiristo
Inasikitisha kwamba hili TAIFA mpaka muda huu karne ya 21 kuna watu desin hii ndio maana Biil gate anataka kutuuwa anasema kuna watu hawana faida yyote ulimwenguni Dah Tanzania bado kuna majihili kiasi hichi hawa hata mavi utawauzia kweli tutafikaaaa.Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Kwamba “pokea gari,pokea nyumba“ just kwa kuitikia tu “amina amina”Na hakunaga mafanikio ya miujiza
Ova
Wanacheza na akili za watuKwamba “pokea gari,pokea nyumba“ just kwa kuitikia tu “amina amina”
Hivi hawa watu wanawaza na vichwa gani hawa?duniani wapumbavu hawaishi ni wengi mno na acha wapigwe.
Inawezekana sana hasa Udongo huo uwe umeshaombewa na Mwamposa.Hivi udongo ukiusonga kama ugali huwezi kuula na maharage au kitoweo chochote?
Mbona watu wanatendewa, na wanatoa shuhuda? Ina maana hao maelfu na Malaki mpaka mamilioni ya watu wanao toa shuhuda wakiwemo waburundi wakenya watanzania mpaka wa USA kwamba wote ni waongo au?Mkuu hapo hakuna aliye afadhali uyo mwamposa mwenyewe ndio walewale mganga aliyechangamka niamini aisee namfahamu vzur tu mwamposa hizi karne za mwisho jamani watatokea manabii wa uongo ndio hawa kina mwamposa
Tapeli MwamposaMaelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Shuhuda gan nyie mamburula mnajaza seva tu hapa, kwan mamposa na kiboko ya wachaw wana tofaut ganiMbona watu wanatendewa, na wanatoa shuhuda? Ina maana hao maelfu na Malaki mpaka mamilioni ya watu wanao toa shuhuda wakiwemo waburundi wakenya watanzania mpaka wa USA kwamba wote ni waongo au?
Acheni ubishi wa kijinga usio na maana kama huna uhakika na unachokizungumza au kukiandika ni heri ukakaa kimya kuliko kuropoka