baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kuna data mbili tofauti nimeweka, jitoe ufahamu kama nyengine hujaiona, kuna refugees na migrants, zote mbili nimeweka.Home boy umeelewa vizuri mada na uhusiano na hizi takwimu zako kweli?
Wakimbizi au watu(kama inavyosemwa katila mada hii) wanaokwenda Marekani ni tofauti ni hizi data zako
UNHCR anafanya hosting ya wakimbizi kwenye hayo mataifa na hayo mataifa yanakubali kupokea watu hao kwa sababu ni member state wa UN.(Hii ni tofauti na population inayoingia Marekani)
Unajua kuzitafsiri hizi takwimu kweli??Hii immigrants propotion
View attachment 3144299
Proportion na influx inafanana? Yaani imechukua miaka mingapi hao wakimbizi kuwa kwenye hizo nchi?Hii immigrants propotion
View attachment 3144299
Mnapenda kwell maneno ya Kanga, kutwa mnawasema wazaramo humu hali ya kuwa mna sifa zote za hao wazaramo. Ulishindwa kutafsiri na kuziweka mpaka uongee hayo maneno.?Unajua kuzitafsiri hizi takwimu kweli??
Halafu anakuja mtu anajifanya "ng'e ng'e, ng'e ng'eee", mae, wanacheza na US nini hawa?Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu- USA. Hata marais wa nchi zao wanacheza green card lottery.
Uchaguzi mkuu wa kiwanja ni kama uchaguzi wa dunia nzima macho na maskio yote yapo kiwanja 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Hizo data ni za world bankProportion na influx inafanana? Yaani imechukua miaka mingapi hao wakimbizi kuwa kwenye hizo nchi?
Halafu hiyo "proportion" inatokana na data gani?
Pope Francis kakuruhusu uolewe na mwanaume mwenzako vipi umeshapata bwana?Mnataka kupulizwa matakoni kama mtume?
Kwa sababu hutumii akili, Qatar nchi nzima ina watu milioni 2.5, US kwa mwaka inapokea immigrants hadi milioni 3, sasa hiyo Qatar itakuaje na Immigrants wengi zaidi ya US??Mnapenda kwell maneno ya Kanga, kutwa mnawasema wazaramo humu hali ya kuwana sifa zote za hao wazaramo. Ulishindwa kutafsiri na kuziweka mpaka uongee hayo maneno.?
Ukitoa nchi zenye vitaHalafu anakuja mtu anajifanya "ng'e ng'e, ng'e ng'eee", mae, wanacheza na US nini hawa?
Kwa ufinyu wa ulicho comment hapa shukuru hata nimekujibu. Haya kanunue kuku uchinje ule na biriani.Ukitoa nchi zenye vita
Usilolijua wewe waarabu wana hela nchi zote hizo za ulaya wanapewa incentive waende na sio wanalazimisha kwenda, kuna Nchi Kibao za Ulaya miradi yao mikubwa mikubwa ni Mali za waarabu. Hapo Usa nina uhakika hujui kampuni yoyote ya Usa isiomilikiwa na waarabu
Hujui kingereza ndio maanaKwa sababu hutumii akili, Qatar nchi nzima ina watu milioni 2.5, US kwa mwaka inapokea immigrants hadi milioni 3, sasa hiyo Qatar itakuaje na Immigrants wengi zaidi ya US??
Sawa walalamikie hao Marekani na Ulaya kwanini wanawaruhusu hao waarabu ambao hawana hata Visa waingie free.Kwa ufinyu wa ulicho comment hapa shukuru hata nimekujibu. Haya kanunue kuku uchinje ule na biriani.
Zingatia, Percentage siyo number.Hizo data ni za world bank
View attachment 3144301
Unaweza ukaziangalia vizuri hapa
Na hizi ni total immigrants unazotumia wewe
View attachment 3144302
| Country | # Immigrants |
|---|---|
| United States | 50.6M |
| Germany | 15.8M |
| Saudi Arabia | 13.5M |
| Russia | 11.6M |
| United Kingdom | 9.4M |
| United Arab Emirates | 8.7M |
| France | 8.5M |
| Canada | 8M |
| Australia | 7.7M |
| Spain | 6.8M |
| Country | # Emigrants |
|---|---|
| India | 17.9M |
| Mexico | 11.2M |
| Russia | 10.8M |
| China | 10.5M |
| Syria | 8.5M |
| Bangladesh | 7.4M |
| Pakistan | 6.3M |
| Ukraine | 6.1M |
| Philippines | 6.1M |
| Afghanistan | 5.9M |
Huko marekani umeona maelfu ya waarabu tu hujaona walatino wakienda hadi Trump kutishia kujenga ukuta?!..by the way watu toka ulaya na marekani wanakimbilia DubaiSielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!