Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

Nashangaa,eti Kwa mashoga kwann wasibaki kwenye maadili🙄🤣
 
Kuna Marais Wa Nchi kubwa wanacheza Green card Kimya kimya Hawasemi Land of Opportunity Sasa Wewe Nenda Iran,kwa Kiduku, China Urus,Uone Tofauti ya Hii Dunia
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Kwani Qatar ,Iran au Saudi wana majeshi Ulaya au US? kitendo cha wao US kuweka majeshi na kuiba mafuta ya watu ni haki yao waarabu kwenda huko huko US kutumia pesa za mafuta yao
 
Nashangaa,eti Kwa mashoga kwann wasibaki kwenye maadili🙄🤣
Wana kambi kibao za jeshi mashariki ya kati hao US, kazi yao kuiba mafuta tu, sasa acha hao waarabu waende maana hao ndio wezi wa mafuta yao
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Na hutaekewa sababu huna uwezo wakuelewa.
Na kwa Nini wazungu , waafrika, wahispania wahindi pia wanaenda US kutoka nchi zao za asili?
US Ina watu wake wa asili na hao wengine wote wakina Trump na Kamalla ni wahamiaji tu.
 
Wana kambi kibao za jeshi mashariki ya kati hao US, kazi yao kuiba mafuta tu, sasa acha hao waarabu waende maana hao ndio wezi wa mafuta yao
Hivi mzungu Huwa anawalazimisha hao viongozi kwenye hizo nchi ambalo wanachukua hizo nyara za serikali?
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Wewe na jamaa yako anaitwa ward41 huwa ni waongo sana.
Ripoti za miaka mitatu kutoka sasa zinaonesha NCHI ZINAZOONGOZWA KUPOKEA WAKIMBIZI WENGI KUTOKA ARABUNI NI UTURUKI NA QATAR.
WAARABU WAMESHAPUNGUZA WIMBI LA UHAMIAJI ULAYA.
WANAOKIMBILIA SANA ULAYA NI WAAFRIKA IDADI YA WAARABU KILA LEO INAPUNGUA.
HIVYO USIKAE NA KUDANGANYA WATU BWANA MDOGO.
 
Hakuna mtu mwenye akili atapenda kuishi nchi za kiarabu!
Screenshot_2024-11-06-08-18-15-29_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-11-06-08-18-36-74_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-11-06-08-18-52-96_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Huko Trump anakotaka kujenga ukuta ndiko waarabu wanakopitia!
Acha ufala kijana huko kunakojengwa ukuta 95% ni raia kutoka VENEZUELA,GUATEMALA, MEXICO, URUGUAY NA ARGENTINA.
NA AMERICA UKITIZAMA IMMIGRANTS 85% NI WA SOUTH AMERICA WALIOBAKIA NDIO MATAIFA MENGINE.
 
Ok nimekuelewa kuna tofauti kweli kati ya refugees na migrants.Swali la msingi hii mada inaongelea nini?(Refugees au migrants?)

Mada inahusu watu ambao wako tayari kuacha makazi yao kwa sababu zao wenyewe kwenda kuishi Marekani(they're willingly to give up their homeland to take refuge in the USA).Hii ni contrary na data zako nilizokataa ambazo zinaonyesha number of refugees per country.

Refugees ni watu wanasukumwa na factors kibao(i.e,vita,njaa,uongozi mbaya n.k) kutoka katika ardhi yao mama kwenda kupata hifadhi maeneo mengine(Waarabu wanaongelewa hapa wapo katika category ya migrants kwa sababu zao wanazozijua wao)

Ndio maana takwimu zako nimekwambia hazina uhusiano na mada iliyopo
Wimbi la waarabu kuhamia Ulaya na Marekani kila leo linapungua.
Sasa hivi wahamiaji wa kiarabu wengi huwenda Qatar,Uturuki,Kuwait n.k n.k
Halafu pia unatakiwa ufahamu all refugees are immigrants migrating to other parts seeking refuge from war and other difficulties.
But not all immigrants are refugees.
Hili mkuu umeshindwa kulielewa!???
Data alizoleta jamaa ni sahihi ila naona wewe na wenzako KIINGEREZA KIGUMU KWENU.
Wakimbizi wote ni wahamiaji ila sio wahamiaji wote wakimbizi.
 
Wakimbizi hawakimbilii western na migrants pia hawakimbilii western nishaeka Data kibao ila mnapotezea na kurudia Ujinga Ule ule.

Hizi data za Wakimbizi Toka UN
View attachment 3144635

Nchi inayoingoza Kutengeneza Wakimbizi na kuharibu nchi zenye Amani NI Usa, Wamepiga Iraq na kuharibu Wamepiga Afghanistan, wanasuport machafuko kila sehemu Syria, Lebanon, Palestine, Yemen na kwengineko. Wanaobeba Zigo la wakimbizi ni Uturuki na Iran. Leo hii anaonekana Iran Mkorofi na Usa eti baba la Amani.

So maneno yenu matupu ya siyo na Data ama Data za UN wenyewe zipi ni sahihi?
Akili hawana kabisa.
Wakikurupuka na yao wanaropoka tu.
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Hata wasomali pia.
Hakuna ambaye hataki maisha mazuri na uhuru haya mengine ni ujinga tu mfano hizi dini ni wajanja tu walibuni mfumo wa maisha wa kupumbaza watu
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Mwarabu asili yake ni mweusi,na wapo waarabu weusi waliobakia nchi za kiarabu,na kiko kisiwa kinaitwa Scotra,kisiwa hicho ni weusi watupu.Hawa unaowaita wewe waarabu,ni machotara wa kizungu na hao waarabu (weusi),baada ya kuoana waarabu (weusi) na wanawake wa kizungu wa kitumwa,nfio wakapatikana hao machotara wa kizungu na waarabu.Hao wanarudi kwenye asili ya mabibi na mababu zao.
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Hao unaowaita waarabu,ni machotara wa kiarabu(weusi) na wanawake watumwa wa kizungu,waliopelekwa nchi za kiarabu,wakaoana,waarabu wa asili ambao ni weusi na wazungu wanawake weupe,waliopelekwa utumwani,asili ya muarabu sio mweupe,na wapo waarab weusi nchi za kiarabu,na kiko.kisiwa kinaitwa Scotra,ni waarabu weusi watupu.Muarabu asili yake ni Aftika,hata neno Afrika,linatokana na mtawala,wa kiarabu(mweusi).Hao unaowaita waarabu(machotara wa kiarabu na wa kizungu)wanarudi kwenye asili ya mabibi zao na mababu zao.Wazungu wanajua hilo,ndio.maana wazungu,wanawapokea,na pia hawaiti whites,wanajumuishwa kwenye blacks.
 
Back
Top Bottom