Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

 

Attachments

  • FB_IMG_1715614681310.jpg
    17 KB · Views: 6
Uislam mnavozidi kuupinga na kuuchukia na wenyewe unazidi kueneaaa ,,na hamna kitu mnafanya zaidi ya hasira tuh
 
Watafiti walituambia ulaya inaenda kuwa ya waislam sababukuu izi moja wazungu awapendi kuzaliana kama Africa pamoja nakupewa offer kibao likizo mume mke pesa nyingi ilikuwafutia wazungu wazaane lkn bado awapendi. Sababu nyengine ushoga umeenea sana kwao wanaona ni haki ya mtu kuchagua alime au alimwe yeye. Uwezi kuwapinga mashoga ukiwa ulaya utapoteza kazi au kufukuzwa izo nchi. Sasa ulaya %70 wazungu wengi n wazee sio vijana unaona nguvu inayayuka talatibu wenyewe ndio walileta uzazi w m'pango ukokwao miaka ya nyuma, wananchi wao wakaupenda sasa mataifa yao yamegundua makosa walifanya kuleta uzazi w mpango kwaiyo sasa wanagalamika kuwashawishi kwapesa likizo umeona wapi likizo anapewa na mzazi kiume ndio ulaya ya Leo kuzaa dill unakaa hm unalipwa mipesa nakazi ipo palepale. Mkimaliza likizo ya uzaz mnaenda job, sababu ya tatu watoto wengi wanaozaliwa ni wakislamu asilimia kubwa wakimbizi waliojaaa uko wanatoka nchi zenye waislam wengi Asia Africa ndio wamejaa uko na sio wachoyo kuzaliana vile wanaona watoto wanakuwa tayali na uraia w uko. Wakimbizi ni wengi Mediterranean si mnasikia wakimbizi ktk mabot wanaenda ulaya na kumbuka asilimia kubwa kati yao waislam. Atua yapili wazungu wanapoteza nguvu kazi vile vijana wachache. so waamiaji wanaziba kasolo iyo ya kungukazi. Kwaiyo awawapendi lkn wanawaitaji, Muwe n asubui njema.
 
Badala ya kwenda uarabuni kuandamana wanaandamana ujerumani,uislamu ni kueneza chuki na uarabu tu hakuna jipya...Yani Bila uislamu Dunia ingekuwa mahali salama sana kuishi sema tu nawapenda kwenye kukataa mambo ya kizungu kama LGTBQ
Uzuri utakuja kutupenda waislam na kuupenda uislam kila engo mwisho uislam sio uarabu na wala uarabu sio uislam
 
Upo sahihi sababu, wazungu wengi sio wakristo........waarabu wengi ni waislami lazima tu watalazimisha utamaduni wao
 
Wanaenda Ulaya wanawakimbia waislamu wenzao wanafika wanataka tena sheria zilizowakimbiza
Hawajawakimbia waislam wenzao wamekimbia ndege za kivita vifaru vinavyowaua kule kwahio tulieni tu wazayuni wa jf
 
Ndio kuna nchi wamefukuzwa.. Unakaribishwa kwa watu baada ya kwako kukushinda halafu unaleta ujingaujinga wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…