Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.

I have no words, video inajieleza!

Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

Yani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo

Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East

Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
 
Attachments

  • FB_IMG_1715614681310.jpg
    FB_IMG_1715614681310.jpg
    17 KB · Views: 6
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.

I have no words, video inajieleza!

Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

Uislam mnavozidi kuupinga na kuuchukia na wenyewe unazidi kueneaaa ,,na hamna kitu mnafanya zaidi ya hasira tuh
 
Watafiti walituambia ulaya inaenda kuwa ya waislam sababukuu izi moja wazungu awapendi kuzaliana kama Africa pamoja nakupewa offer kibao likizo mume mke pesa nyingi ilikuwafutia wazungu wazaane lkn bado awapendi. Sababu nyengine ushoga umeenea sana kwao wanaona ni haki ya mtu kuchagua alime au alimwe yeye. Uwezi kuwapinga mashoga ukiwa ulaya utapoteza kazi au kufukuzwa izo nchi. Sasa ulaya %70 wazungu wengi n wazee sio vijana unaona nguvu inayayuka talatibu wenyewe ndio walileta uzazi w m'pango ukokwao miaka ya nyuma, wananchi wao wakaupenda sasa mataifa yao yamegundua makosa walifanya kuleta uzazi w mpango kwaiyo sasa wanagalamika kuwashawishi kwapesa likizo umeona wapi likizo anapewa na mzazi kiume ndio ulaya ya Leo kuzaa dill unakaa hm unalipwa mipesa nakazi ipo palepale. Mkimaliza likizo ya uzaz mnaenda job, sababu ya tatu watoto wengi wanaozaliwa ni wakislamu asilimia kubwa wakimbizi waliojaaa uko wanatoka nchi zenye waislam wengi Asia Africa ndio wamejaa uko na sio wachoyo kuzaliana vile wanaona watoto wanakuwa tayali na uraia w uko. Wakimbizi ni wengi Mediterranean si mnasikia wakimbizi ktk mabot wanaenda ulaya na kumbuka asilimia kubwa kati yao waislam. Atua yapili wazungu wanapoteza nguvu kazi vile vijana wachache. so waamiaji wanaziba kasolo iyo ya kungukazi. Kwaiyo awawapendi lkn wanawaitaji, Muwe n asubui njema.
 
Badala ya kwenda uarabuni kuandamana wanaandamana ujerumani,uislamu ni kueneza chuki na uarabu tu hakuna jipya...Yani Bila uislamu Dunia ingekuwa mahali salama sana kuishi sema tu nawapenda kwenye kukataa mambo ya kizungu kama LGTBQ
Uzuri utakuja kutupenda waislam na kuupenda uislam kila engo mwisho uislam sio uarabu na wala uarabu sio uislam
 
Yani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo

Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East

Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
Upo sahihi sababu, wazungu wengi sio wakristo........waarabu wengi ni waislami lazima tu watalazimisha utamaduni wao
 
Wanaenda Ulaya wanawakimbia waislamu wenzao wanafika wanataka tena sheria zilizowakimbiza
Hawajawakimbia waislam wenzao wamekimbia ndege za kivita vifaru vinavyowaua kule kwahio tulieni tu wazayuni wa jf
 
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.

I have no words, video inajieleza!

Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

Ndio kuna nchi wamefukuzwa.. Unakaribishwa kwa watu baada ya kwako kukushinda halafu unaleta ujingaujinga wako
 
Back
Top Bottom