Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Zanzibar kuna wajomba zako wanataka bongo flavour ipigwe marufukuSiyo kweli.
leta ushahidi wako kama u mkweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar kuna wajomba zako wanataka bongo flavour ipigwe marufukuSiyo kweli.
leta ushahidi wako kama u mkweli.
Nchi za kiislam NATO wamevuruga amani Sasa na wao wanaenda kwenye amaniKwanini hawaendi kwenye nchi za Kiislam?
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.
I have no words, video inajieleza!
Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’
Yani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo
Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East
Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
Jino kwa jino principle, ndo lugha inayoeleweka kirahisi kwa ndugu zetu🤣Some how israel wameweza kuu contain effectively, wametumia mbinu gani?
Hivi Sharia ndio zile unachukua Pesa bank bila makato hizo ndio mnaziita Sharia?Uongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.
Uislam mnavozidi kuupinga na kuuchukia na wenyewe unazidi kueneaaa ,,na hamna kitu mnafanya zaidi ya hasira tuhImpact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.
I have no words, video inajieleza!
Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’
Waislam wanadeka aisee.Uislam popote.
Badala ya kwenda uarabuni kuandamana wanaandamana ujerumani,uislamu ni kueneza chuki na uarabu tu hakuna jipya...Yani Bila uislamu Dunia ingekuwa mahali salama sana kuishi sema tu nawapenda kwenye kukataa mambo ya kizungu kama LGTBQ
Uzuri utakuja kutupenda waislam na kuupenda uislam kila engo mwisho uislam sio uarabu na wala uarabu sio uislamBadala ya kwenda uarabuni kuandamana wanaandamana ujerumani,uislamu ni kueneza chuki na uarabu tu hakuna jipya...Yani Bila uislamu Dunia ingekuwa mahali salama sana kuishi sema tu nawapenda kwenye kukataa mambo ya kizungu kama LGTBQ
Sharia imesema wapi kama ukiwa sio muislam uuliwe angeuuliwa kwanza ami yake mtume Muhammad sawKwahiyo wanataka na huko walikoenda ukikutwa ni mkristo unauliwa, kama sharia inavyosema sio?
Ni kwamujibu wa Quran tukufuHii ni according to Quran au mawazo yako binafsi?
Upo sahihi sababu, wazungu wengi sio wakristo........waarabu wengi ni waislami lazima tu watalazimisha utamaduni waoYani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo
Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East
Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
Hawajawakimbia waislam wenzao wamekimbia ndege za kivita vifaru vinavyowaua kule kwahio tulieni tu wazayuni wa jfWanaenda Ulaya wanawakimbia waislamu wenzao wanafika wanataka tena sheria zilizowakimbiza
Ndio kuna nchi wamefukuzwa.. Unakaribishwa kwa watu baada ya kwako kukushinda halafu unaleta ujingaujinga wakoImpact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.
I have no words, video inajieleza!
Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’
Ni kweli, ubora wake umeonekana huko Libya, Syria, Iraq, Iran, Afghanstan, Lebanon n.kUongo.
. Sharia ni bora kuliko sheria yoyote za kibinadam duniani.