Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

This is it. Vizazi vinabadilika. Leo Iran kuna wimbi la wanawake kupinga kulazimishwa kuvaa hijab wakati Ufaransa wanadai haki ya kuvaa hijab hadi burqa!

Watoto hawawi na kumbukumbu wazazi wao walikimbia nini toka nchi zao za kiimla zenye itikadi kali za Kiislamu. Kuna wale mabinti wa kiislamu Waingereza walitoroka na kwenda kuolewa na wapiganaji wa ISIS Iraqi. Akili zikawarejea baada ya adha na msoto wa miaka.

Ni kwa vile haki za binadamu haziruhusu wakimbizi kuwekewa sharti la kufuata tamaduni za nchi zinazowapa hifadhi.
Ni muda muafaka sasa ikiwezekana hii kitu iwekwe bayana kama ni hitajio muhimu kwa nchi zitakazowapokea wakimbizi au wazamiaji au wageni wanaohamia kihalali ikiwezekana hata ifanyike through Labbying & advocacy lengo likiwa ni kuepusha matukio kama haya.
 
Ushahidi huu wapa wa video. Haya njoo nijibu hawa waislamu wa pemba wanapinga nini ?

View attachment 3124356
Dini ni utapeli mkubwa.
Impact za illegal and mass migration zimeanza kuonekana huko Ujerumani na hii ni baada ya maelfu ya waislamu kuonekana wakiandamana huko Ujerumani wakitaka kuwepo na sheria za kiislamu kwenye nchi hiyo yaani Sharia Laws.

I have no words, video inajieleza!

Soma Pia: Wakristo wa Yemen walishinikizwa kufuata sheria za Kiislamu: ‘Tulilazimishwa kuvaa hijabu’

Wanawalea sana. Wangewarudisha kwao walipotoka wakatekeleze Imani Yao vizuri. Huu ujinga huukuti Japan, china, Russia na wengine kama hao waliokataa kuwa brainwashed na Dini.
 
Mbona Waisilamu wanaikimbia hiyo Islamic Sharia Law?!

Ati Mjerumani aache kunywa Bia na Nyama ya Nguruwe wakati ni Culture yake.

Sharia Law ni upuuzi tu.
Upuuzi wake Nini?

Mbona baadhi ya sharia zimeshaanza kutumika Ujerumani? Tena muda mrefu tu sasa.

Walioingia mitaani huko hawakisii, siyo kondoo hao.

Umelala usingizi mzito sana.
 
Mbona Waisilamu wanaikimbia hiyo Islamic Sharia Law?!

Ati Mjerumani aache kunywa Bia na Nyama ya Nguruwe wakati ni Culture yake.

Sharia Law ni upuuzi tu.
Labda ikifanyiwa maboresho. Lakini kama itaendelea kuwa kama ilivyo sasa; kweli ni upuuzi.
 
Labda ikifanyiwa maboresho. Lakini kama itaendelea kuwa kama ilivyo sasa; kweli ni upuuzi.
Sharia Law ni Sheria za Kale ambazo hazina nafasi katika Modern World.

Zinaruhusu Mtoto wa Kike wa Miaka 6 aolewe kwa ujumla hazifai kabisa na hazijawasaidia Waisilam zaidi ya kuwaletea Ulemavu wa mikono na viungo.

Wezi wa Kuku wanakatwa mikono waka Mula anaiba mabilioni anayaficha Dubai halafu wezi wa Mbuzi nao wanakatwa mikono.

Huko Afghanistan Mamula wana Maboksi ya Viagra na wanalawiti vijana lakini wanaamuru wazinifu wapigwe mawe hadi wafe.
 
Yani hawa watu wanatafuta tu uchokozi kwenye nchi za watu……Huwezi ukamkuta Mzungu yupo Saudi Arabia au Iraq anaomba serikali za huko waruhusu uwepo wa shughuli za kikristo kwenye nchi hzo

Lakini hawa waarab wamepewa hifadhi ya kuishi kwenye nchi za kikristo,wanaanza kuleta mambo ya Middle East

Hawa wanapaswa warudi kwao tu,wakaendelee kuvaa makobazi
Hao wazungu hawana cha kudai after all dini yao haina mashiko wazungu wengi ni wapagani hawana dini na hao wakiristo wengi wao hawashuuliki na ukiristo maana sio dini inayowepelka mbali madhaifu ni mengi mno, ata makanisani hawaendi wanajali pirika zao tu tofauti na muislamu popote alipo anautafuta msikiti na ku-apply uislam bila kulazimishwa ndio mana sasa wanataka hizo sharia zitumike maanda ndicho kilichobaki tu.
 
Siyo kweli, kama kabalehe (vunja ungo) hata miaka 3 rukhsa. Kama hajabalehe, hata 20 huruhusiwi kuowana nae.
Sasa unakataa nini unakubali nini?! Sheria law inaruhusu Pedophilia.

Sheria za Kibedui hizo Mjerumani hawezi kuzikubali.
 
Sharia Law ni Sheria za Kale ambazo hazina nafasi katika Modern World.

Zinaruhusu Mtoto wa Kike wa Miaka 6 aolewe kwa ujumla hazifai kabisa na hazijawasaidia Waisilam zaidi ya kuwaletea Ulemavu wa mikono.

Wezi wa Kuku wanakatwa mikono waka Mula anaiba mabilioni anayaficha Dubai halafu wezi wa Mbuzi wanakatwa mikono.
Yes. Ndo mana nikasema labda zikifanyiwa maboresho au Amendments au kuwa Reviewed ili ziendane na wakati wa sasa.
Sioni wanashindwa wapi kwani hata huku Umasaini ndani huku zamani kulikuwa na utamaduni ulioruhusu kuposa mimba na vibinti vidogo chini ya 6yrs kuolewa. Lakini mdogo-mdogo siku hizi ukigundulika tu 30 yrs itakuhusu.
Kwa huko kwa wenzetu, vile vizee ndo vinazifaidi hizo Sharia lakini ingelitokea vijana elite na wale wa makamo wakaulizwa baada ya kuelimishwa kidogo; huenda habari ingeweza ikawa ni kivingine. Rigidity of the Sharia Law
 
Oktoberfest-2025.jpg
LMB_20191005_02_127.jpg

Germany Beer Festival angalia walivyokuwa na furaha, Germany ni Secular Republic.

Mnataka kuwapelekea hii System iliyofeli 👇system ya FaizaFoxy?!
Afghan-women-862x570.jpg
 
Dunia inatakiwa ipambane na Sharia Law sheria gani inakuruhusu kuoa Watoto lakini ukinywa Konyagi unahukumiwa kupigwa viboko.
 
A_piLb3EoR4n_2015-11-03_1446533958resized_pic.jpg

Mwanamke wa KiAfghanistan amepigwa Mawe hadi amekufa na Watu ambao wao wenyewe wanakesha PornHub.

Sharia Law ni Barbaric. Haifai kwenye Dunia ya leo.
 
View attachment 3124775
Mwanamke wa KiAfghanistan amepigwa Mawe hadi amekufa na Watu ambao wao wenyewe wanakesha PornHub.

Sharia Law ni Barbaric. Haifai kwenye Dunia ya leo.
Hayo ndo baadhi ya matokeo ya kuukumbatia "Mfumo dume" katika ubora wake. Swali linakuja kwamba, Je; Kwani huyo mwanamke alikuwa anazini peke yake? Mhusika (Me) ili huo uzinifu aliotuhumiwa nao ukamilike yuko wapi? au mwanaume sio sehemu ya uzinifu? Tutafakari sana hapo.
 
Back
Top Bottom