OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Ni muda muafaka sasa ikiwezekana hii kitu iwekwe bayana kama ni hitajio muhimu kwa nchi zitakazowapokea wakimbizi au wazamiaji au wageni wanaohamia kihalali ikiwezekana hata ifanyike through Labbying & advocacy lengo likiwa ni kuepusha matukio kama haya.This is it. Vizazi vinabadilika. Leo Iran kuna wimbi la wanawake kupinga kulazimishwa kuvaa hijab wakati Ufaransa wanadai haki ya kuvaa hijab hadi burqa!
Watoto hawawi na kumbukumbu wazazi wao walikimbia nini toka nchi zao za kiimla zenye itikadi kali za Kiislamu. Kuna wale mabinti wa kiislamu Waingereza walitoroka na kwenda kuolewa na wapiganaji wa ISIS Iraqi. Akili zikawarejea baada ya adha na msoto wa miaka.
Ni kwa vile haki za binadamu haziruhusu wakimbizi kuwekewa sharti la kufuata tamaduni za nchi zinazowapa hifadhi.