Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

Duh! kumbe na wewe ni mchambuzi , sasa Fanya uchambuzi wako wewe mwenyewe ukiacha bange na uchizi wako utakuwaje ....
 
Inaonekana kama picha ya AI.
 
M23 inawezekana kabisa wako sahihi,ila mataifa na serikali ya kongo ndio dhalimu
 
Mbona nimesikia kuwa raia walilazimishwa bila hivyo yangewakuta yakuwakuta..
 
Ukiongea na watu wengi wa huku wanataka M23 iongoze nchi. Na akina sisi tu tusioelewa
 
General Sultan Emmanuel Makenga sijamuona ,,,, yuko wapi kwa sasa?
 
kwan we unahisi ccmu pekee ndo wanajuwa kujaza uwanja , hapohv ccmu style imetumika , angalia vzr hiyo video kama wamelazimishwa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…