Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

KIVU sasa hivi ni nchi kamili na Goma ni capital city.

Yani hawa watu wangeachana na mambo ya madini wajikite kwenye kilimo na ufugaji watapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.

Vyakula na bidhaa za kilimo zote zinatoka nje.

Kwasababu ardhi yao ni kijani na rotuba na mvua zinanyesha za kutosha kila mwaka.
Duh! kumbe na wewe ni mchambuzi , sasa Fanya uchambuzi wako wewe mwenyewe ukiacha bange na uchizi wako utakuwaje ....
 
Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
View attachment 3227121
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.

Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence Kanyuka, Joseph Bahati Musanga ameteuliwa kuwa Gavana wa Kivu Kaskazini

Soma, Pia: M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini
Inaonekana kama picha ya AI.
 
M23 inawezekana kabisa wako sahihi,ila mataifa na serikali ya kongo ndio dhalimu
 
Mbona nimesikia kuwa raia walilazimishwa bila hivyo yangewakuta yakuwakuta..
 
Ukiongea na watu wengi wa huku wanataka M23 iongoze nchi. Na akina sisi tu tusioelewa
 
General Sultan Emmanuel Makenga sijamuona ,,,, yuko wapi kwa sasa?
 
Dah......! Halafu wachawi ambao si wakazi wa Goma wanawalalamikia wapigania ukombozi wa M23, huo umati it's an indication of their support otherwise wasingeenda hapo uwanjani.
Unless kama hiyo clip ni editing hao si watu halisi vinginevyo maana yake ni kwamba watu wa Goma wanawakubali hao 'wakombozi' wa M23.
kwan we unahisi ccmu pekee ndo wanajuwa kujaza uwanja , hapohv ccmu style imetumika , angalia vzr hiyo video kama wamelazimishwa vile
 
Back
Top Bottom