Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! kumbe na wewe ni mchambuzi , sasa Fanya uchambuzi wako wewe mwenyewe ukiacha bange na uchizi wako utakuwaje ....KIVU sasa hivi ni nchi kamili na Goma ni capital city.
Yani hawa watu wangeachana na mambo ya madini wajikite kwenye kilimo na ufugaji watapiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
Vyakula na bidhaa za kilimo zote zinatoka nje.
Kwasababu ardhi yao ni kijani na rotuba na mvua zinanyesha za kutosha kila mwaka.
Inaonekana kama picha ya AI.Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23).
View attachment 3227121
Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini.
Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence Kanyuka, Joseph Bahati Musanga ameteuliwa kuwa Gavana wa Kivu Kaskazini
Soma, Pia: M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini
Washika zeze tupocdm hapa udenda unawatoka,acheni malalamiko shikite zeze mfike huku kwa kina m23.
Wewe maarasssDuh! kumbe na wewe ni mchambuzi , sasa Fanya uchambuzi wako wewe mwenyewe ukiacha bange na uchizi wako utakuwaje ....
Inaonekana kama picha ya AI.
kwan we unahisi ccmu pekee ndo wanajuwa kujaza uwanja , hapohv ccmu style imetumika , angalia vzr hiyo video kama wamelazimishwa vileDah......! Halafu wachawi ambao si wakazi wa Goma wanawalalamikia wapigania ukombozi wa M23, huo umati it's an indication of their support otherwise wasingeenda hapo uwanjani.
Unless kama hiyo clip ni editing hao si watu halisi vinginevyo maana yake ni kwamba watu wa Goma wanawakubali hao 'wakombozi' wa M23.