Maendeleo huletwa na watu, kazi, siasa safi pamoja na Uongozi Bora

Maendeleo huletwa na watu, kazi, siasa safi pamoja na Uongozi Bora

Mdala Samia

New Member
Joined
Apr 17, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika.

Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO / UCHUMI n.k ambapo lazima utengeneze muunganiko imara wa mambo yafuatayo ambayo ndiyo Samia Suluhu ameanza nayo:-

1. Watu (Watu ni Mtaji na ndio kila kitu (Human Resource).

2. Kazi (Watu lazima wafanye kazi tena kwa bidii na sio mazoea na ujuaji usio na msingi).

3. Siasa Safi (Tayari amevitambua vyama vya uoinzani katika mtazamo chanya. Pia ameanza kuitengeneza CCM katika namna bora zaidi.

4. Uongozi Bora (Wote tunakubaliana Samia ni katikati ya Mstaafu Jakaya Kikwete na Hayati JPM. Uongozi wake sio wa laiser fair zaidi na sio wa ki dikteta zaidi. Watanzania tumeona madhara na faida ya aina hizo mbili. Mama Samia amekaa katikati anajua wakati gani atumie silaha gani. Ukipitia Leadership Management styles

Ndg zangu tumuunge mkono Rais Samia kwani ukijumlisha namba 1 hadi 4 hakika utapata UCHUMI IMARA, MAENDELEO nk

Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Mungu akufanyie wepesi. TUNAKUOMBEA

Mdala Samia
 
Back
Top Bottom