Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

Mwache Jiwe awekeze Chato sisi tutaendelea kuwekeza Dar angalau tuna uhakika wa kurudisha kile tulichowekeza.Baada ya Jiwe kuondoka nina uhakika Chato haitasikika tena,Itakuwa mahame!
 
Kwel Mkuu, hiyo Dom yenyewe Ni hati hati, maamuzi ya bajeti jamaa anafanya mwenyewe na kuamrisha tu wenzie wanafuata upepo, akiondoka Ni kwishney

Akiondoka madarakani CHATTLE itakuwa kama GBADOLITE ya MOBUTU.
 
Tuache ujinga, vitu vinavyojengwa CHATO havitumiwi na Rais Magufuli pekee!
Kuna Watanzania wa makabila yote kule CHATO watafaidi maendeleo hayo.
Kuna wakati mtu kama wewe najiuliza kwa nini mlizaliwa kwenye hii dunia?

Hujui kama nchi inahitaji mgawanyo sawa wa rasilimali zake
 
Yaani ku-compare Nyerere na Magufuli ni dhambia kubwa sana. Sacrifice aliyoifanya Nyerere kama siyo yeye sijui hata kama baba yako angekusomesha wewe au hata kukuzaa.

== Education alifanya bure - ada hadi daftari
== Medicare bure - kumuona daktari hadi dawa (chakula, malazi, kupasuliwa, damu etc)
== Ukiona viwanda vilivyopo leo au mashirika makubwa - basi alianzisha Nyerere au Wakoloni (Mwingi, MKapa, kikwete combined hawajawahi kufanya lakini waliuza)
== Barabara Zambia to Dar - Nyerere
== Tazara - Nyerere
== Viwanda vyote vikubwa vya nguo - Mwatex, Urafiki,Mutex, Kiltex etc etc = Nyerere
== Viwanda vya Cement - Nyerere
== Umeme wote ulikuwa wa Nyerere - Kidatu, Mtera etc etc
== TCOSHILI, SONORTASHIP = Nyerere
etc etc etc etc

Kama angeamua vyote viwe kwao Butiama, akina Andrew waishi London hangeweza?

Fabya research uje tena
 
Kwani hiyo kiongozi mkubwa kupendelea kwake kwako ni sawa.Brother kinachokua tatizo sio maendeleo ya huko alikotoka kiongozi tatizo ni namna yanavyopatikana.Nchi yetu si ya kimajimbo ni mfumo wa kapu moja tugawane sawa hivyo maendeleo hayo lazima yasidifu mfumo wa kimaendeleo wa nchi na sio kuangalia kigezo cha nani antoka wapi.
 
Hoja dhaifu sana hii. Kwani Kikwete,Mkapa,Mwinyi na Baba wa taifa hawakuwa na kwao? Hoja ya hovyo sana hii. Haifai wala haishawiwishi.
 
Narudia tena una IQ ndogo

We are talking about Tanzania ,ambayo airport unaipa priority na huku mwananchi hana uhakika atakula nini ,anachota maji ya chini ya kisima ,anakosa hela ya ada ya chuo etc ,wafanyakazi wana low salaries incomes etc
 
Wazawa wa chato mrudi nyymbani kumenoga [emoji28]
 
Wazo lako ni zuri, ila umesahau kitu kimoja kikubwa - Ungependekeza kuwa kuwe na mswada katika bunge wa kuweka kipengele cha bajeti pendeleo ya kuendeleza maeneo atayotoka Rais wa Tanzania kama maeneo hayo yapo duni ki-miundo mbinu. Na yakipitishwa yawe ndani ya katiba ya JMT ili iwe wazi kwa watanzania wote nini kitajengwa.

Ikikupendeza ungependekeza na kuitaja hiyo miundo mbinu katika katiba yetu ya JMT.
 
Ulichoandika ni ushuzi tu. Ungekuja na fact ya vinavyojengwa huko. Je uwanja utahudumia wasafiri au mizigo kiasi gani? Je Huo uwanja kwanini haukuwepo Kahama penye watu wengi mara 20 ya chato? Je kwann chato tuuuuuuuuu
 
tatizo lenu kubwa ni moja...huwa mnatakiwa mlambe makalio ya viongozi bila kujali hayo makalio ni "masafi" au "machafu"....ninyi wajibu wenu ni kuyalamba tuu, baasi!

hongereni kwa kazi nzuri!
Kweli mkuu, mzee kama huyo hana pakula anaishi kwa binti yake wa kufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…