Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

Inaonekana Kama unateseka Sana mtoto wa dada ake, iko hivi acha kujipendekeza we huoni tatzo mipango yote hyo ndani ya miaka 5 tu alafu unakuja hapa nyau nyau nyau vipi wewe,. Au wewe ni masanja mkandamizaji nini?
 
Hata Bill Gate mwaka jana katika mahojiano alimdharau Elon Musk.Leo Elon Musk ndiye Tajiri namba moja (1) Duniani.
Hivyo wenye mawazo duni siku zote siyo wa kuzikilizwa! Wanaenda na kitu inaitwa " popular opinion"!
Hivyo sishangai wewe ku doubt IQ yangu maana sijui IQ yako wewe ikoje!
Sawa!!! Lakini kuna haja ya kushangaa IQ yako maana umetanguliza mahaba kuliko uhalisia
 
Bado mmeshindwa kujibu hoja za msingi!Hizi ni porojo tu na hakuna majibu!
Kwamba leo imekuwa ni sifa kuoendelea maeneo unakotoka kisa wewe ni Rais?Kweli dunia inakwenda kasi sana!
Je,ni wilaya gani ina miradi mingi kwa pamoja kama Chato?Taja miradi ya wilaya moja tu uipendayo!
Dah nomaa. Kwahyo wew una uhakika na kilicho kichwani kwako?
 
Bado mmeshindwa kujibu hoja za msingi!Hizi ni porojo tu na hakuna majibu!
Kwamba leo imekuwa ni sifa kuoendelea maeneo unakotoka kisa wewe ni Rais?Kweli dunia inakwenda kasi sana!
Je,ni wilaya gani ina miradi mingi kwa pamoja kama Chato?Taja miradi ya wilaya moja tu uipendayo!
Mkuu hana wilaya aipendayo zaidi chato so usitegemee kupata jibu zaidi ya chato
 
Hata Mobutu alipojenga uwanja wa ndege huko kijijini kwake alikuwa na watetezi kama ww, leo hii watetezi wote wa uhuni ule kama wako hai wanaona aibu ya dhahiri. Hebu tupe mrejesho wa ule uwanja wa ndege wa katavi Pinda akiwa PM kuwa utainua utalii wa kule?
Hakuna haja ya kulaumu uwanja huo kujengwa pale kwa sababu tu Mhe.Pinda siyo tena Waziri Mkuu! Sisi tuangalie kiuchumi tutautumiaje ?! Katavi kuna rasilimali nyingi si utalii pekee ebu tuache akili za kushikiwa!
 
Tuache ujinga, vitu vinavyojengwa CHATO havitumiwi na Rais Magufuli pekee!
Kuna Watanzania wa makabila yote kule CHATO watafaidi maendeleo hayo.
 
Inawezekana kura 5 na kura 2 za maoni CCM walizopata Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere respectively ni hasira za Wana Butiama kuona hawana impact na ni irrelevants kwa maendeleo yao pamoja na majina yao mkubwa na backgrounds zao
Jiwe alipata kura ngapi za ukweli Chato? Ile nyomi ya alipopita Lisu na fiisu alizofanyiwa dada Husna na mapolisi vipi
 
Halafu huyu utakuta anajiita eti ni msomi,
Hakuna anaekataa Kiongozi kujenga kwao, kwani nae ni kama mbunge anaeiitaji kuona kuna maendeleo anakotoka.

Lakini tujiulize ni kwa spidi hii, maana nilimsikia mzee wa jalalani akidai kuwa chato itakuwa Kama miji ya china, je hayo ndio kipaumbele cha taifa? na je yapo kwenye ilani ya ccm, maana nimesikia anataka kutangaza kuwa Mkoa.

Huu ni ufisadi mkubwa sana tusubiri na muda utasema ipo siku tutamuuliza hizo pesa alitoa wapi na kwa bajeti ipi, hebu jaribu kufikiria kila Rais ajae robo ya rasilimali za taifa apeleke kwao kisha anageza Kijiji chao linakuwa jiji, itakuwaje.

Watanzania tuache kushabikia vitu vya kijinga hii tabia inabidi ipingwe haraka kabla aijaota mizizi, atakuja mwingine atajenga miradi mikubwa Kijijini kwao isiyo na tija huku Mizigo wa madeni tukibeba sisi na watoto wetu huku tukisifia ujinga Kama mazuzu au misukule.
 
Hata Mobutu alipojenga uwanja wa ndege huko kijijini kwake alikuwa na watetezi kama ww, leo hii watetezi wote wa uhuni ule kama wako hai wanaona aibu ya dhahiri. Hebu tupe mrejesho wa ule uwanja wa ndege wa katavi Pinda akiwa PM kuwa utainua utalii wa kule?
Sijui Mataga watakuelewa?
 
Hata mjinga wa kawaida hawezi kutoa hoja za kijinga namna hii!
 
Tatizo la wengi kuhusu Chato ni kwamba hayo "maendeleo" tunayoshuhudia, yasingewezekana bila nguvu kubwa kutoka ofisi ya Rais. Hii preoccupation aliyonayo Rais kuhusu Chato, inavuka mipaka kwa kiasi kikubwa:

1) kurekebisha mipaka, kuna large chunks za ardhi zimemegwa toka wilaya za jirani, hasa Kahama kwenda wilaya ya "Mbogwe", hapa kinalengwa nini?

2) kuweka"vivutio" kama mbuga ya wanyama ya Burigi-Chato, ikihusisha kuhamisha wanyama.

3) kulazimisha ujenzi wa miradi mikubwa, mfano uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali ya rufaa, nk.

Hiyo ni mifano michache, lakini inatisha. Shida iko wapi?
1) Magufuli alikula kiapo kutumikia taifa, siyo kutumia bajeti kubwa ya taifa kujenga nyumbani kwao. Hiyo peke yake ni dalili ya mtu mwenye matatizo ya akili.

2) Magufuli anatumia muda mwingi kufikiria Chato badala ya Taifa.

3) Magufuli anaweka Precedence mbaya sana kwa wanaofuatia.

Kwamba umediriki kuweka uzi kutetea tabia mbovu kabisa ya UBINAFSI kama ulivyokiri mwenyewe, ni ishara kwamba kuna "nati" kadhaa kichwani mwako hazijafungwa vizuri
 
Hata Bill Gate mwaka jana katika mahojiano alimdharau Elon Musk.Leo Elon Musk ndiye Tajiri namba moja (1) Duniani.
Hivyo wenye mawazo duni siku zote siyo wa kuzikilizwa! Wanaenda na kitu inaitwa " popular opinion"!
Hivyo sishangai wewe ku doubt IQ yangu maana sijui IQ yako wewe ikoje!
Hata tajiri No.1 humjui unatembelea simulizi, Musk kakaa kwenye chart kwa masaa.
 
Dunia enzi za Nyerere na sasa na aina ya fikra na maendeleo ni tofauti sana. Leo Kutoendeleza maeneo yakiwemo ya chimbuko lako ni ujinga na utumwa. No way!

Yaani kutumia rasilimali za nchi kuendeleza eneo ulilozaliwa/ ulilotoka ndio ujanja !.Sijui hizi shule mlizosoma zinawasaidia nini,badala ya kuondoa ujinga zinaongeza ujinga.
 
Back
Top Bottom