Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nchi ya uchumi wa kati ikose abiria wa ndege?Kama abiria wapo hakuna shida ziende
🤣Chadema wavimbe na kupasuka
Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu.View attachment 1646383
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL , kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato .
Hayo yamebainishwa na ofisia wa shirika hilo Mh Kavishe
Chadema bado ipo? Ishakufa cdm au unawashwa?Chadema wavimbe na kupasuka
Nauli yakeNchi ya uchumi wa kati ikose abiria wa ndege ?
Lengo la kuanza kwa hiyo route ni kumjibu bwana yule aliyeenda Belgium kuwa ule uwanja umejengwa pale kwa sababu za kibiashara zaidi na sio kwa matumizi binafsi ya namba mojaHiyo safari imeanzishwa kisiasa, nina hakika itakufa muda mfupi baada ya jamaa kutoka madarakani, na hayo yote ni katika zile mbwembwe za siku hizi za kumsifia mfalme, ila watamsifia huku wanakunja uso kwa maumivu ya hasara watakayopata.
Hahaahahhaahhaahaahhahaaaa jinai haiyozi nn?Kwa wale ambao hawapajui chato, kule hakuna uwakika wa abiria 10 wa Ndege kwa kila cku. Kijij ni cha wavuvi, kushoto ni pori la burigi. Hakuna shughuli za kibiashara. Hatutashangaa kupelekwa ndeg kumfurahisha mzee baba, ila wajue kuna cku watashitakia kwa ujumu uchumj hata baada ya miaka 10. Jinai huwa haiozi
Mim nasubiri SGR ifike hukoKama Mabus yameshindwa kupata abiria CHATO itakuaje Kwenye ndege?