Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu

P
Hata ufanyaje huteuliwi.....
 
Kwa wale ambao hawapajui chato, kule hakuna uwakika wa abiria 10 wa Ndege kwa kila cku. Kijij ni cha wavuvi, kushoto ni pori la burigi. Hakuna shughuli za kibiashara. Hatutashangaa kupelekwa ndeg kumfurahisha mzee baba, ila wajue kuna cku watashitakia kwa ujumu uchumj hata baada ya miaka 10. Jinai huwa haiozi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
wanaanza lini, siye wakazi wa katoro ni dili kwetu uwanja huo . Mwanza mbali
 
View attachment 1646383

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL , kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato .

Hayo yamebainishwa na ofisia wa shirika hilo Mh Kavishe
Safi sana watalii wataenda kwenye mazishi ZOO iitwayo BURIGI, sorry MBUGA ya Burigi
 
View attachment 1646383

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL , kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato .

Hayo yamebainishwa na ofisia wa shirika hilo Mh Kavishe
Kweli maendeleo, very soon Chattle itatangazwa kuwa jiji
 
View attachment 1646383

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL , kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato .

Hayo yamebainishwa na ofisia wa shirika hilo Mh Kavishe
Hata ndege zikisafiri tupu bila abiria poa tu, zitakuwa zinarejea nyumbani zionekane na wenyewe huku zikipasha moto injini baada ya kupark Dar miaka mingi. Musukuma Bus Service itajiju!
 
Zitaenda tupu na kurudi tupu. Huyo anayejiita mwendawazimu si ndiye alilazimisha CRDB wajenge branch kubwa pale kwa kudai kuna biashara matokeo yake wafanyakazi wa CRDB wanachapa usingizi ofisini na kucheza karata.

Back
Top Bottom