Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Yaan Paschal nikikumbuka miaka ya 1998 kipindi hiko nipo mdogo nilikuwa navutiwa na utangazaji wako nilikuwa nakupenda mno yaan.Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu
Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!
Wanabodi, Tangu kupatikana kwa taarifa ya kutelekezwa kujengwa kwa uwanja wa ndege wa Bukoba, eneo la Omukajunguti na badala yake sasa uwanja huo unajengwa Chato, kumetokea pingamizi kadhaa kupinga kujengwa kwa uwanja huo Chato kwa kutumia costs benefits index, hivyo mimi naunga mkono ujenzi...www.jamiiforums.com
P
Ila Baba angu aliwahi kuniambia sio kila unachoambiwa tu ww unakubali unatakiwa ujenge hoja na ukikubali bila kuwa na sababu sawa umekataa na ukikataa bila ya kuwa na sababu ni sawa umekubali.
Paschal kila kitu unakubali tu kama ingekuwa enzi za Muhamad ningekufananisha na Abuu Bakar Swidiq yaan yeye lolote atakalosema Muhamad anasema kweli hata kama hajaliona wakamapchika jina Abuu kukubali yaan Swidiq