Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Kama vipi basi watengeneze mfereji kama ule wa Suez ili meli ziweze kupeleka mizigo moja kwa moja kutoka kwa mabeberu
 
Mbona kama anajibiwa yule alisema kwamba UWANJA WA CHATO Hauna faida kwa taifa na ni maamuzi ya binafsi?
 
Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu.

P
Kazana baba. Utakuwa DC wa Chato. The reality is: It is a hostile location for an airline business.
 
Okey na akishatoka madarakani na uwanja unakuwa useless
Absolutely Sir

Tatizo lake hatutaki kujifunza kupitia makosa ya wengine, refer uwanja wa Mizengo Pinda ule wa Katavi.

The same scenario will happen to this beautiful port of ours, Chato baada ya huyu Mhe. Sana kuondoka.
 
View attachment 1646383

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL , kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato.

Hayo yamebainishwa na ofisa wa shirika hilo Mh Kavishe.

Mwisho wao unakuwaga mbaya sana!! BOKASA na MAOBUTU Mahekalu waliyojenga yamebakia MAGOFU.

Niite GK aka Bokasa.

Gbadolite.jpg

Gbadolite3.jpg

Gbadolite4.jpg

Gbadolite5.jpg

Gbadolite6-Bokasa.jpg

Gbadolite7-Kawele.jpg
 
Absolutely Sir

Tatizo lake hatutaki kujifunza kupitia makosa ya wengine, refer uwanja wa Mizengo Pinda ule wa Katavi.

The same scenario will happen to this beautiful port of ours, Chato baada ya huyu Mhe. Sana kuondoka.
Hii nchi ni shamba la bibi
 
ATCL ni shirika linalojiendesha kisiasa kuliko kibiashara, Napata ukakasi sana kuamini kama kweli shirika hili lina business plan, au kama lina sustainable plan,

Hivi mkuu wa shirika hili alipatikanaje, Vetting ilifanyika, Vigezo vipi vilitumika?? Je board ya wakurugenzi ilipatikanaje??? Je malengo ya kulifufua shirika hili yalikuwa ni yapi??? je yalikuwa ni kurahisisha ufisadi au yalikuwa ni nini hasa.

Kama malengo yalikuwa kufanya bishashara kwa nini shirika hili lilihamishiwa vote ambayo haikaguliwi na ''CAG" Lengo lilikuwa kuficha nini hasa? Kwa sasa tuishie hapo, Baada ya serikali ya awamu ya Tano kuondoka madarakani huenda yaliyojificha yatafichuliwa.
Na hii ni proof kwamba hataondoka madarakani atafia humohumo
 
Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu.

P

CHATO ni GBADOLITE ,Just Matter of Time.
 
Likatue kabisa barazani kwake sio kiwanjani, shirika lenyewe limewekewa kinga ya mahesabu yake kutokukaguliwa na ofisi ya CAG..!!

Na kwa jinsi huu utawala ulivyo itakuja kutangazwa kwamba ruti ya Chato ndio inayoongoza kwa kuingizia mapato Atcl na bunge zima pamoja na wale Boot Lickers wote watashangilia kwa nderemo na vifijo.

Hapo ndipo tulipofikia leo Tanzania, nchi nzima watu wamegeuzwa misukule tunachohitajika kufanya ni kusifia tu chochote kile anachofanya Magufuli. Ni aibu kubwa sana kama taifa.
 
View attachment 1646383

Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL , kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato.

Hayo yamebainishwa na ofisa wa shirika hilo Mh Kavishe.

Na wewe lazima uwe mtalii wa Kwanza wa Chato na Burigi kwa ndege za ATC 😂😂😂😂

Usimchoke Rais. Yupo tena sana tu
 
Kumfurahisha mkulu inatugharimu kuliko kutufaidisha!
Yale yale ya wale wanyama waliopelekwa burigi wakaishia kuona maruweruwe tu huko
 
Sawa Mkuu ,Ngoja tuje kusubiria MAGOFU ya Makumbusho kwa ajili ya watoto na wajukuu wetu.

Kwa nchi yetu hii, bado interactions zitaendelea kuwepo tena sana tu. Kibiashara, Kigoma na Katavi zikifunguliwa kwa miundombinu, tuna fursa ya kufanya biashara na DrC ambayo ni nchi yetu utajiri mkubwa mno.

Bahati mbaya tunafikiria against mtu, badala ya picha kubwa. Tusiwe watazamaji. Tuanze kufunguka kama wakenya walivyo
 
Back
Top Bottom