gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Umeandika hii ukiwa umetumia kichwa chako vizuri au umejiandikia tu?.Fantastic news. Au unatia tu Kamanda? Unajua eneo hilo ni kubwa lina watu milioni 4. Nearest other Airport ni Mwanza (350 kilometres) au Entebbe (429) au Lubumbashi (500). Linganisha na kwa Mbowe kuna international airports 3 ( KIA 45 kms, Embakasi 187, na Arusha 62), kwa watu milioni 2.5 tu. Which is better?