Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

Daah nakumbuka watu walisema kiwanja cha chato ni potential, ati wana kilimo cha umwagiliaji na ufugaji kwaio watakua wana export mboga mboga pamoja na nyama kwenda nchi za mbali,,,Muda utazungumza.
 
Kwa wale ambao hawapajui chato, kule hakuna uwakika wa abiria 10 wa Ndege kwa kila cku. Kijij ni cha wavuvi, kushoto ni pori la burigi. Hakuna shughuli za kibiashara.

Hatutashangaa kupelekwa ndeg kumfurahisha mzee baba, ila wajue kuna cku watashitakia kwa ujumu uchumj hata baada ya miaka 10. Jinai huwa haiozi
Duuh we sio mtu wa kawaida.....
 
Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu.

P
https://jamii.app/JFUserGuide YOU.
 
Fantastic news. Au unatia tu Kamanda? Unajua eneo hilo ni kubwa lina watu milioni 4. Nearest other Airport ni Mwanza (350 kilometres) au Entebbe (429) au Lubumbashi (500). Linganisha na kwa Mbowe kuna international airports 3 ( KIA 45 kms, Embakasi 187, na Arusha 62), kwa watu milioni 2.5 tu. Which is better?
Mkuu kati ya hao wakazi m4 abiria wangapi wanapatikana kwa sasa.
 
CHADEMA wavimbe na kupasuka
Mbona siku zote huna akili ktk kuandika kwako?
Si bora uwe unakaa kimya kuficha ujinga wako?
Unafikiri CDM ni mataga kama wewe?
Kumbuka akili za CDM mmoja ni sawa na mataga 300.
Njooni kwa hoja acheni blah blah!
Ndege kwenda chato kama kuna biashara (abiria) imekaa safi kabisa!
 
Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu.

P
We jamaa mnafiki sana na mshenzi pia.
 
Hii ni habari njema sana, route ikianza, abiria watapatikana, kitu muhimu ni kuutangaza utalii wa Chato. I was very right being optimistic kuhusu ujenzi wa uwanja huu.

P

Pasco na wewe pia uliunga mkono juhudi?
 
Back
Top Bottom