Mie napajua Chato, wewe hupajui, jaribu kuwa mkweli. The nearest aiport ni Lubumbashi maili 200 au Mwanza maili 300. Hapo katikati kuna watu zaidi ya milioni 4, wakulima na wafugaji, Watanzania kama wewe. Linganisha na safari fusion tu ya Moshi hadi Arusha maili 60 tu lakini kuna international airports 4 (KIA, Arusha, Kahe, Embakasi). Na idadi ya raia ni milioni 2 tu.
Ukitoa data za lami, shule, umeme, hospitali, maji na tigopesa, utakuta shida ni hiyo hiyo: eneo kubwa, watu wengi, utajiri mkubwa, lilisahauliwa. Ni eneo kubwa kuliko Belgium. Uchumi wake dhahabu, hadi mabeberu wanampa tundulissu nishani awatetee wazidi kutuibia makanikia.
Eti wakose abiria 10. Na hawo watalii wa Burigi Chato national Park wataenda na ungo? Akutukanaye?