Maendeleo ya vitu yanaakisi moja kwa moja maendeleo ya watu,kwa naona watu was dar mumesahau foleni ya hapo ubungo ambayo ilielezwa na watafiti wa uchumi kuwa inaleta hasara ya pesa nyingi kwa mwaka,wale wa kusini mumesahau pale MTO rufiji,wale wa mwanza mumesahau safari ya dar-mwanza ilikuwa siku ngapi,je lile daraja lilivyokatika pale morogoro,na kule wami,hasiwaambie MTU ulaya tunapenda kwenda kupiga picha kwa sababu ya vitu,ambayo wenyewe mnasema maendeleo iweje Tanzania hionekane hivyo vitu havifai watanzania mumelewa maendeleo mtajuta.