Maendeleo ni nini? Ukweli kuhusu maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu

But kwnn yaliyofanywa yameshindwa boresha maisha ya watu.Watz wengi walishasahau Ni lini walikunywa chai ula maramoja kwa siku saa kumi Hadi kesho Tena.Kama umebahatika kula Milo 3 shukuru.
Hii umeikuza kuhusu chai na mlo mmoja tanzania haipo ivyo
 
Labda ni hii ndio tafsiri sahihi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1599462383618.jpg
    21 KB · Views: 17
Maendeleo ya vitu yanaakisi moja kwa moja maendeleo ya watu,kwa naona watu was dar mumesahau foleni ya hapo ubungo ambayo ilielezwa na watafiti wa uchumi kuwa inaleta hasara ya pesa nyingi kwa mwaka,wale wa kusini mumesahau pale MTO rufiji,wale wa mwanza mumesahau safari ya dar-mwanza ilikuwa siku ngapi,je lile daraja lilivyokatika pale morogoro,na kule wami,hasiwaambie MTU ulaya tunapenda kwenda kupiga picha kwa sababu ya vitu,ambayo wenyewe mnasema maendeleo iweje Tanzania hionekane hivyo vitu havifai watanzania mumelewa maendeleo mtajuta.
 
Sasa hiyo serikali barabara inazojenga hela itatoa wapi kama sekta za kilimo na biashara imezipa visigo na huko ndo sekta zinazoipatia mapato serikali na watu?
 
Sasa hiyo serikali barabara inazojenga hela itatoa wapi kama sekta za kilimo na biashara imezipa visigo na huko ndo sekta zinazoipatia mapato serikali na watu?
Mkuu hata baada ya ushahidi wote ruliotoa bado unashupaza shingo tuu? Aaah mtoto mweusi acha chuki binafsi
 
Majibu mujarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…