Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

Utajiri unamambo yake
Ebu fikiria kuna MTU anauzia udongo watu, hela za sadaka anakusanya kibao then anaenda kujenga hotel ...halafu waumini hawana pa kusalia
Cha kujiuliza yeye anapokusanya mafungu ya sadaka kwa watu!
Mbona yeye hatoi sadaka anakwenda kuzijengea hotel?
Utapeli
 
Wacha kukariri ndugu!!!
Naamini kama kila binadamu akitumia wakau 10% ya uwezo aliopewa na Mungu atakuwa na utajiri kama MO.Omba sana kujua kusudio la wewe kuja Duniani na upate kile ulichopangiwa.
 
Wacha kukariri ndugu!!!
Naamini kama kila binadamu akitumia wakau 10% ya uwezo aliopewa na Mungu atakuwa na utajiri kama MO.Omba sana kujua kusudio la wewe kuja Duniani na upate kile ulichopangiwa.
Umesema asilimia 10 mi nimekwambia 30% kabisa za kupata pesa kihalali!.
Zinazobakia ni utapeli, ufisadi, ushirikina,uhalamia na umalaya!

Mfano bosi anaaajiri watu wengi anawanyonga mishahara au kuwatapeli kabisa hawalipi, wengine humohumo wanasagwa na mitambo wanakufa kwa kafara!
Hakuna kiwanda kikubwa ambacho kinaweza endelea pasipo kumwaga dam ya MTU!
 
Ndiomana mimi nimekupa 10 % ndogo tu tena hata 5% tu ya uwezo tuliopewa na Mungu tukitumia hatutakufa Masikini,ni jambo dogo tu,Kujijua wewe ni nani?na kusudio la Mungu kwako
 
Watu wanaompinga mtoa mada mmefanikiwa au ndo walewale wenzangu na mimi
 
Yaani maskini hamuishi kujifariji...
 
Wacha kukariri ndugu!!!
Naamini kama kila binadamu akitumia wakau 10% ya uwezo aliopewa na Mungu atakuwa na utajiri kama MO.Omba sana kujua kusudio la wewe kuja Duniani na upate kile ulichopangiwa.
Hii nakubali mkuu, lakini sio mara zote kujua kusudi ndo kunakuletea utajiri, sometimes purpose inaweza ikawa kitu tofauti kabisa kisichoshabihiana na utajiri mfano healer, restorer, leader etc, japo kupata maisha mazuri kwako inakuwa rahisi vikwazo vichache, as you are aligned with your purpose
 
Kumbuka pia bibilia imeandika Tajiri kuuona ufalme wa Mungu ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano!
Pia bibilia imeandika heri yao maskini wa roho....
You cannot wish for a house of Gold in Heaven while you have never touched Gold right here on Earth.

Mbingu Haipo.

Ukishindwa kuishi Duniani, Dhana ya mbinguni haipo ni ya kufikirika.
 
Watu wanaompinga mtoa mada mmefanikiwa au ndo walewale wenzangu na mimi
Wengine ndo walewale unakuta kasalary kanampagawisha, anabinua na midomo eti 'maskini wanajifariji, au unakuta yupo kwa shemeji yake sebuleni kapata bando.
Au ana vijipesa lakini kazipata kimazabe kwa uchafu wa roho mpaka mwili,watu wa design hii hata awe na pesa ya kula bata dunia nzima hawajawahi kuniinspire kwanza nikiwaona najiskia kinyaa, afu ndo unamkuta kakaza koo 'tafuteni hela vijana' 🤮🤮
 
You cannot wish for a house of Gold in Heaven while you have never touched Gold right here on Earth.

Mbingu Haipo.

Ukishindwa kuishi Duniani, Dhana ya mbinguni haipo ni ya kufikirika.
Kuna watu wana pesa za kawaida tu lakini wanaenjoy heaven on earth, na kuna matajiri wenye pesa ndefu and they are always in hell.
Heaven and hell its just a state of mind, it depends with your definition of what is true peace and happiness
 
Watu wanajivunia umaskini badala ya kuupiga vita!
 
Kuna Mh mmoja ambae ni mkuu wa wilaya fulani,mpaka hapo alipofika kutoka mwenyekiti wa kitongoni mpaka ukuu wa wilaya asilimia [emoji817] waganga ndio wamemfikisha hapo,nimeshuhudia kwa macho yangu
 
Kusema waliofsnikiwa, mali, zao 70℅ni, maghumashi na ushirikina, ni fikra potofu sana, kuna watu wanaamini pesa ni ovu!! Imani kama hizi, ni Imani zilizokufa,
Hazileti changamoto, upo uwezekano wa kuwa na ukwasi bila dhuluma yoyote. Kwa kazi za mikono yako,
Nimeweza kukusanya ukwasi makubwa(kwa viwango vya bongo), kwa kuanzia na ajira mbuzi, ajira kwenye makampuni makubwa, na sasa kwenye mashirika ya UN, nje,
Nimefungua kampuni,
Nilinunua plot, Dodoma 2008!, kwa, 2M, nikaiuza kwa mfanya biashara mkubwa kwa 500M! Mwaka 2019!! Sasa, hapo,nimemshulumu nani?
 
Reactions: Ame
Naomba tu nikushauri, kinachokufanya usiendelee ni mawazo yako haya hasi...Si Kila aliyefanikiwa kafanikiwa kama ulivyoandika, wapo watu wametumia uwezo wao wa akili walizojaliwa wakachanganya na baraka za Mungu wakafanikiwa kupindukia. Mawazo kama haya hayawezi kukufanya uthubutu kujiendeleza kwakua unawaza kinyume na mafanikio
 
Nitajie tajiri ambaye hana makando kando nikujuze
 
Masikini kwa kujifariji hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…