SoC02 Maendeleo ya uchumi wa mtu binafsi katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika

SoC02 Maendeleo ya uchumi wa mtu binafsi katika kukuza uchumi wa nchi za Afrika

Stories of Change - 2022 Competition

Samwel kibiki

New Member
Joined
Aug 11, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Maendeleo ya mtu binafsi tu namaanisha hali ya kiuchumi ya watu Katika taifa, katika umiliki wa mali, elimu na siasa pia vitu hivi huchochea kwa kiasi kikubwa Maendeleo ya taifa kiujumla mtu mmoja mmoja katika taifa Wakiwa na uwezo mzuri wa kiuchumi Tunaweza kukuza uchumi wa nchi pia.

Kwa maana hii tutaipunguzia serikali mzigo wa kuanza kufikiria namna ya kuwakomboa watu wake kiuchumi na hivyo kuweka malengo mazuri ya kukuza uchumi wa nchi vilevile Maendeleo ya watu binafsi katika nchi huzaidia upatikanaji wa viongozi Bora ambao Wana elimu ya kutosha, wanauzalendo na nchi Yao Lakini pia kikubwa Zaid ni kwamba.

Maendeleo ya watu katika taifa hasa Afrika yatakua na mchango mkubwa San wa Kusaidia kuzuia Rushwa na ufisadi katika taifa kwasababu watu wake hawatategemea serikali ili kupata uchumi wao binafsi Lakini pia viongozi ambao Wanaingi madarakani Wanakua na uwezo mzuri kiuchumi hivyo ni nadra Kwa wao kufanya ufisadi na Rushwa.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom