Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo


Uyahudi Ni Kabila Hata yesu Alikuwa Myahudi
Wayahudi Wengi Ni wa dini ya Kijeweshi ambayo Asili yake Ni Kuamini Mungu Mmoja asiye asiye Na Mtoto(Haimaanishi kuwa Wao Ni waislamu)
Baadhi ya Sheria zao Zinafanana Na Sheria za Kiislamu Ambazo Zilikuwepo Hata kabla Ya Mussa,Je Ni nani Kakopi kwa Mwenzie?


Sheria Zote za Quran Zimetoka Kwenye Torati na Zaburi Hakuna Anayekataa "Na sio Kwamba Zimeanza Kwenye Torati Tu Na Zaburi,Ufunuo aliofunulia Nabii Adam Nao Ulikuwa Na Mafundisho Kama hayo yaliopo Kwenye torati na zaburi

3:3 Quran "Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili"

Uislamu Haujabadili Chochote Kutoka Kwa Nabii Adam Mpaka Mtume Wa Mwisho Muhammad (S.A.W) Hii Ni dalili Tosha Ya Dini Isiyokuwa na shaka Vitu Havibadilishwi

Je Nchi za kiislamu Ni Zipi?Je Zenye Waislamu wengi au vipi Kwa uelewa wako?
Turkey Uliibuka Uislamu Miaka Mingi Baada Ya Kifo cha mtume Muhammad (S.A.W) Miaka 100 au 200 baada Ya kifo chake vivo Hivo Kwa Lebanoni,Indonesia uliibuka baadae.
Turkey kabla ya Kuanguka kwa dollar Kubwa Ya Ottoman walikuwa wakifuata Sheria Za kiislamu vizuri(Kwan Huoni Hata kwenye Tamthilia ya Ottoman Azam two) Ila baada ya Kuanguka Kwa dollar 1923 Waliwekewa vikwazo ikiwemo kutotoa adhana, wanawake Kutovaa Hijab Na Baadhi ya Sheria za Kiislamu zilipigwa Marufuku.
Kama Ulivosema Baadhi Wa turkey,Lebanoni na Indonesia wanafutaka mila zao,Kweli Ni baadhi Si Kila mtu Allah Kamfungulia awe Mcha mungu,Pia kufuata Mila Haimaanishi Kuwa wewe Sio Muislamu au Ni dhambi Kuna mila na Desturi ambazo sio dhambi Kuzifuata Au mafundisho Yake Yanaendana Na quran,

Saudia Kufanya Uchafu na Starehe Kwanza Starehe Sio Dhambi Ila Inategemea Unafanya vipi starehe

Starehe Ya Ngono Kufanya mke Halali Si dhambi,Kufanya Na Mchepuko ndo dhambi(Saudia Hauwezi ingia lodge Na mwanamke Bila cheti cha ndoa)

Starehe Ya Kula na Kunywa Sio Dhambi Ila Kila haramu na Kufuru Ndio dhambi

Starehe ya Kutembea Nje Ya Nchi si dhambi

Starehe ya Kuvaa Sio dhambi.
Waache saudia Wafanye starehe Ila wasivuke mipaka Yao.Hata allah kasema Katika kuitafuta Akhera Usisahahau Dunia yako.

Hata Kama Saudia Wanafanya Dhambi basi Jua Kiyama kiko Karbu maana hakitasimama Kiyama Mpaka Udhalimu,Maovu Yatapakae Dunia nzima.

The Things matter Ni Mafunzo katika dini Ya Kiislamu na sio Waislamu Wanafanya Nini
 

Uislamu Ulikuwepo Hata kabla ya Ukristo

2:183
"Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu"

Tunafuta mafundisho kutoka kwa Baba wa Imani Abraham(Ibrahim) Ambae Pia Aliishi Ndani Ya falme za Kiarabu(Kama Biblia na Quran inavoeleza)
 
Uislam ni dini ya maumbile ya mwanaadam kutoka kwa mungu..sio bla bla
 
Swala tano Vidole Vitani
Uso bapa kwa Ajili ya kusujudu Tofauti Na Viumbe Wengine
Majina 99 ya Allah Kwenye Kila Kiganja Cha MwadamuView attachment 2664418View attachment 2664419
View attachment 2664422
Hapo ndipo imani inapowakamata watu kwenye kilele cha ignorance.

Imani Inatumia mazingira yaliyopo kujaribu kuingizia uongo.

Umejaribu kutengenezaa hadi ionekane kama kweli, lakini ni uongo mtupu.

Hzo zinasababishwa na mkunjo wa mara kwa mara kwenye mkono.

Huyo Allah unayemsema wewe hayupo 100%. Ni hadithi tu mnajaribu kumtengenezea mazingira ya kuwepo.
Maana ninyi ndo mmemuumba Allah na anaishi kama wazo.

Allah hayupo, na wala hawezekaniki kuwepo.
 
Kwanini unatumia nguvu kubwa Sana kupinga kitu ambacho hakipo?
 
Waislamu Wana pesa sana kuliko Wakristo shida sio watoaji Sana..
Kama Wakristo
 
Waislamu Wana pesa sana kuliko Wakristo shida sio watoaji Sana..
Kama Wakristo
Hhhhhhhh

Mambo mengine ya kustaajabisha sanaa
Waislamu kwa siku wanaswali swala tano na kila swala kuna Muislamu anatoa swadaka apo hatujazungumzia wale wanotoa swadaka mitaani yni mambo mengine mkubali tu sio lazima kubisha bwasheee
 
Hhhhhhhh

Mambo mengine ya kustaajabisha sanaa
Waislamu kwa siku wanaswali swala tano na kila swala kuna Muislamu anatoa swadaka apo hatujazungumzia wale wanotoa swadaka mitaani yni mambo mengine mkubali tu sio lazima kubisha bwasheee
Mnatoa kidogo kwa maendeleo ya dini yaani mna mkono wa birika.
Unakuta tajiri mzima anatoa shilingi 500 eti swadaka tjaliwa Sasa sh 500 utalipa billi ya umeme, maji,au kusapoti daawaa
 
Aloo! Yan sijaona kpya mana km mahali ktk agano la kale kuna mwamba alichunga kondoo na mbuz wa baba mkwe kwa miaka kadhaa km fidia ya mahali ya kuozeshwa mke. Kuhusu talaka hata wa kristo na selikali pia inazingatia. Kuhusu usafi loh! Tunaish na waislam wachafu, wezi na ni walevi hatar,jiulize kwann wasanii hutumia wahusika wenye majina ya kiislam kuonya au kukebei mfano nymbo ya mtoto idi by juma nature,athumani akishalewa na ile maama AMINA kum***nyk. hamna ktu apo bro sema we kwa upande wa wakristo umeongelea wale maskn wasaka tonge.Bro dini ya kweli ni ww kutenda wema na hapo ndipo utafunuliwa mambo makubwa uso yajua
 
Mnatoa kidogo kwa maendeleo ya dini yaani mna mkono wa birika.
Unakuta tajiri mzima anatoa shilingi 500 eti swadaka tjaliwa Sasa sh 500 utalipa billi ya umeme, maji,au kusapoti daawaa
Nitajie maeneo wakristo wanatoa swadaka kwa wingi?

Angalia msimu wa Ramadhani na skukuu zake waislamu wanatoa swadaka kiasi Gani?

Angalia gaddafi alivokua anayafanya mpka akaonewa chuki akauliwa

Embu usilete mambo ambayo huna elimu nayo
 
Kila mtu anajua madera ni ya waislamu.
Baikoko,taarabu,singeli,chura dance,usiku wa kalio ndembendembe ni miziki ya waislamu waswahili wa pwani.
Zanzibar kuna waislam wengi na sijaona huo upuuzi wa baikoko wala vigodoro.
Hao wanaofanya hayo ni waislam jina tu na hawana ustaarabu.

Waislam waliolelewa kwenye ustaarabu hasa wa 'Alislamu nadhiif' mavazi yao ni dishdash na thobu na abaya za kuanzia walau laki 3 na wananukia oud na perfumes.
 
Yeah!
Ingawaje Mimi sio muislam lakini Baadhi ya Kanuni nazitumia Kutoka kitabu Chao
Hapo namba 4 ilikuaje wakamruhusu mwanamke awe kiongozi, mfano Sa100 aje kuhutubia mbele za wanaume katika utekelezaji wa majukumu yake. Hawakuzoea hawa wamama, ndo mana wanatuingiza choo cha kike, harafu masheick hawa hawa wanakuja kumtetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…