Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

Tulipo Mbezi beach ya Salasala tuna enjoy sana.. jenga kwako weka uzio.. Pia siku zote anagalia neighbourhood kama utaona waswahili wengi usijenge maana watu wa low education na low income wana tabia ya kuamini ushirikina kuliko kujituma kiuchumi.. nime yaona hayo sana uswailin na pia wana wivu sana kwa anaye wazidi maendeleo.. wanakufuatilia sana na kuteta sana tarifa zako zinasambaa sana na katika kusambaa zinakutana na mtabe wa uchawi anakuchezea mpaka unakuwa fukara kama wao..

Amini nisemacho nimekiishi jimejifunza mateso yakuishi na watu uswazi nineona sana.. nenda kwenye maeneo yenye makazi ya watu wa middle income. achana na low income hutajifunza kuwaza juu uta jikuta una waza migogoro ya majiran na hila zao kwako.
 
true ndio maana sitaki uswahilini
 
Kijitonyama, Makumbusho, Mikocheni, Mwenge, Msasani, Masaki, Upanga, Sea View, Oysterbay
 
Njoo mton kijichi hutojutia

et njoo mtoni kijichi duuuu we jamaa ni gaidi sanaa
 
Njoo nikuuzie kiwanja madale

square metre 300

kwa milioni 6.5

ujenge uishi kwako

0683011003 mawasiliano hayo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…