Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

Umeandika ukweli mtupu
 
Ukipita njia ya Yombo ,Buza kwenda Tandika utasikia harufu nzuri ya samaki barabarani jaribu siku kufanya utalii wa ndani panda gari Mbezi nenda Tandika mate lazima yakutokeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
popote panafaa kwan utulivu wa familia unaanza na wewe,
Nyumba ikiwa na fence ni nzuri Sana kwa familia hata ikiwa Kule buza kwa mpalange.
 
Huko ndiko nmekulia,mpk nkapata mji
Hustle nyingi nlijifunzia huko
Napaheshimu sana
Ila kwa familia,malezi watoto hapafai
Kama watoto website kuiga mambo basi
Kuaribika dk 0

Ova
Mkuu unakaa njia ya kwenda machimboni au Msigani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…