kwa utafiti wangu kwa sasa Dar inahamia maeneo hayo kuanzia mbezi mwisho, kibamba na kiluvya na hili linasababishwa na;Ubungo-Kibamba. Hiyo njia haina shida. kama hujaelewa ishi Mbagala utakuja kunielewa baada ya miaka 10 ijayo
Mimi nina mji naingilia kwa kipira au pale kwenye bar ya governor's(bm)kulia ndaniMkuu unakaa njia ya kwenda machimboni au Msigani?
Asee tegeta kuna makelelee kama yoooteYeah madale kuko poa pia boko na Bunju mbezi beach yote kumetulia kote siipendi tegeta tu Mimi kwa uku bagamoyo road maana tegeta imevamiwa sana.
Buza kwa rurenge kama uzunguni vile [emoji39]Kimara bonyokwa kutamu, buza kwa rurenge hadi kwa mparange pako wazi, kunduchi kule kupana pia, mbweni panafaa pia ila kuna maji maji!
Ule uwanja wa mpira sasa hivi kanisa katoliki wameupiga fence wire.Mimi nina mji naingilia kwa kipira au pale kwenye bar ya governor's(bm)kulia ndani
Msigani sifiki
Ova
Wewe uko tegeta ipi?Asee tegeta kuna makelelee kama yooote
KibaonWewe uko tegeta ipi?
Mkuu kibada pako vizuri eeh?Kaishi Kibada-Kigamboni hutojuta
Pazuri sana mkuuMkuu kibada pako vizuri eeh?
Nyie ndio mnavuruga miji Sasa square metre 300 si kujenga Mabanda ya MbwaNjoo nikuuzie kiwanja madale
square metre 300
kwa milioni 6.5
ujenge uishi kwako
0683011003 mawasiliano hayo
View attachment 1873264
Ukishahamia tu, its doesnt take even a month utaanza kutambua kuwa maeneo yanayoambatana na Kilwa Road si sehemu salama...Ubungo-Kibamba. Hiyo njia haina shida. kama hujaelewa ishi Mbagala utakuja kunielewa baada ya miaka 10 ijayo
Huko Mbagala Hakuna Kitu , Ni shida tu ila sio choice ya kuishi binadamUbungo-Kibamba. Hiyo njia haina shida. kama hujaelewa ishi Mbagala utakuja kunielewa baada ya miaka 10 ijayo
Mimi jirani yakoKibaon
Kumbe jirani eeh....!!Karibu,mashamba ya jeshi wazo(madale)
Sehemu tulivu
Ova
Hiyo mitaa yenu sasa hivi watu wanajenga sio mchezoKumbe jirani eeh....!!
Haya maeneo ni mazuri sana mkuu. Hata mimi nayapenda sana. Tatizo ni changamoto za usalama. Huko majambazi ni wengi sana. Tena ukijenga vzr na kuweka gate wanakulia timing getini wakati unarudi. Au siku mvua kubwa ikinyesha wanaruka ukuta na kuingia ndani. Kelele za mvua hata ukipiga kelele watu hawasikii hasa ukizingatia nyumba ziko mbali mbaliKilomo, kerege,mapinga safi mbona
Ova