Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
Acha ujinga mkuuWalawi 11:6-8
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. 7Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. 8Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Hayo yalikuwa ni maono, na maono yanakuwa na tafsiri/maana yake
Tafsiri ya mAONO HIYO HAPO CHINI
mATENDO 10:27Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika. 2810:28 Yn 4:9; 18:28; Mdo 15:8-9Akawaambia, “Mnajua kabisa kwamba ni kinyume cha sheria yetu Myahudi kuchangamana na mtu wa Mataifa au kumtembelea. Lakini Mungu amenionyesha kwamba nisimwite mtu yeyote kuwa najisi au asiye safi. 29Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”
Bei sana, njoo manzese.15,000 ya kuchoma
13,000 - 14,000 ya rosti
We nenda ruddies farm kule bahari beach ukale mdudu wa kwiango cha maglev achana na hayo maeneo ya kiporiporiWadau hamjamboni nyote
Nawaletea maeneo yenye kitimoto nzuri sana maeneo ya Tegeta/ MbeziBeach/ Kunduchi
1. Family bar Tegeta mbele ya Azania bank
2. Skanska njia ya kwenda IPTL
3. Bushman pub salasala
4. Kwa malanja Kunduchi Mtongani
5. Poripoa Bar Salasala mbele ya big brother bar
6. Tin vibe salasala
7. King-size bar salasala opposite na China bar
8. Juliana Bar Mbezi Africana njia ya kwenda White Sands Hotel
Bei ya wastani kwa kilo moja ni kati ya shs 15,000 - 25,000
Mkuu huko gharama zake zikoje?We nenda ruddies farm kule bahari beach ukale mdudu wa kwiango cha maglev achana na hayo maeneo ya kiporipori
Mwaisa walawi ndo wameambiwa wasile mi ni mnyakyusa mwaisa lazima nile kitimoto... Walawi na wanyakyusa wapi na wapi? Hao ni walawi na mimi ni mnyakyusa mwaisaa...Walawi 11:6-8
Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. 7Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. 8Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
Unaenda hadi karibu na budget, then unafuata njia ya ledger plaza ukifaka ledger plaza unafuata njia ya vumbi kushoto utafika huko. utakuta wazungu na familia zao huko. Bei inacheza humo au zaidi kidogo. Niliacha kula mdudu miaka kadhaa iliyopita so sina hakika wa bei hata nikienda huko nakula tu nyama nyingine si mdudu mkuu.Mkuu huko gharama zake zikoje?
Ni maeneo gani hasa?
Hao ni walawi na sisi ni wanyakyusa mwaisa...Walawi nasisi Wangoni wapi na wapi
😂😂Hao ni walawi na sisi ni wanyakyusa mwaisa...
Raha ya Kitimoto ule cha kwenye Bar siyo cha kupikiwa nyumbaniNimekimiss ngoja kesho ninunue nyama nkikaange mchana