Hayo yalikuwa ni maono, na maono yanakuwa na tafsiri/maana yake
Tafsiri ya mAONO HIYO HAPO CHINI
mATENDO 10:27Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika. 2810:28 Yn 4:9; 18:28; Mdo 15:8-9Akawaambia, “Mnajua kabisa kwamba ni kinyume cha sheria yetu Myahudi kuchangamana na mtu wa Mataifa au kumtembelea. Lakini Mungu amenionyesha kwamba nisimwite mtu yeyote kuwa najisi au asiye safi. 29Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”