ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.
Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni
Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point