Kwenye mageti kama Umbwe na vijiji vya karibu kuna watu wengi Tu wanaishi, na baridi maeneo hayo ni single digit centigrade, hatuna Tu vifaa vya kisasa vya kupimia Ila zipo data za zamani zinaonesha maeneo ya Kilimanjaro (sio Mlima) joto linafika -2 °C, Iringa lowest recorderd ni 0.
Na hivi vitu sio rocket science Jinsi altitude inavyokua kubwa na baridi inaongezeka, sehemu kama Njombe altitude yake ni roughly 1900M, sehemu kama Umbwe, machame, Mweka, Materuni altitude ni 1600-2000, kuna watu wanaishi na kulima kwenye hizo slope za milima it's just kunatofautiana hii ramani unaweza ukaona
View attachment 3641893
Mimi nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi around kibosho hio, ukiwa hai ama kibosho mwisho hapo zinpoishia daladala, na ukipanda Machame ama umbwe kwenda juu Milimani you can feel kabisa utofauti, Ukilala Lyamungo na Ukilala Umbwe japo ni karibu km chache unahisi kabisa baridi ni Kali zaidi Umbwe, kila km kadhaa ukipanda baridi inaongezeka kwa kasi.