Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Wakati tukisoma primary &Sekondari huko mbeya tulikuwa tukichelewa shule tukachapwa fimbo za mikononi tulikua hatusikii maumivu inakuwa imeganda...tunaona tu alama nyekundu! Maumivu utayasikia kwenye saa 4 au 5 jua likianza kutoka ... miaka ya 90s kurudi nyuma baridi ilikuwa ni kali zaidi aisee , kupasuka miguu kawaida tu.
 
Njombe ni habari nyingine, yaani usiku unavaa jacket kisha unajifunika na blanketi. Asubuhi unakunywa chai kwenye chupa ya chai ili isipoe. Sio mchezo.
 
Kikweli kuna maeneo Tanzania yana baridi sana, ila naomba ufanye adventure kidogo, nenda Murmansk sehemu moja huko Urusi, Northern hemisphere. Utakutana na kitu hujawahi kukutana nacho, ukisikia baridi ndio lile, -42°C to -55°C na watu wanafanya kazi outdoors, viatu vina sufi, soksi za sufi, kofia za sufi, kamasi littoral na kugandia mlangoni puani..😅😅
Acha kutupiga kamba mkuu. Hakuna baridi hiyo huko unaposema, ni kama Arusha tu au Iringa, hata njombe haijapafikia.
 

Attachments

  • Murmansk.png
    Murmansk.png
    50.4 KB · Views: 10
Back
Top Bottom