Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Siku ya kwanza nafika Makete nilifika jioni nilifua boxa nikaanika nje. Asubuhi naamka nakuta boxa imeganda kwa barafu.

Hua nashangaa mtu anasema baridi eti Moshi, Arusha, wakati hao washkaji wanaotoka hiyo mikoa wakakiri kwamba Makete hapafai.

Inapiga snow, mnaamka asubuhi njia za kupita theluji imemwagika. Ila wana chakula cha kutosha.
Kama hadi kuna barafu barabarani basi huko ndio coldest place in Tz
 
Nimemiss mbeho ya huko Rombo mkuu kwa kina secretarybird mpk vidole vinakakamaa

Huko nyanda za juu barrriiiiid lipo ila wanaofika huko wengi sio wenyeji nimefika huko makete barridi yake ya kawaida tuu maake nimezaliwa na kukulia kwenye barrriiiiid na kuponda mbeho yetu wanazingua sana

Kitu mbeho ya mamdenyi unang'aa chezea mbeho
Mbeho ya hapa mkuu sio poa, hapa Matasha Bar tumejichimbia ndani, nje hakufai kuna mbeho ya hatari
 
Nimemiss mbeho ya huko Rombo mkuu kwa kina secretarybird mpk vidole vinakakamaa

Huko nyanda za juu barrriiiiid lipo ila wanaofika huko wengi sio wenyeji nimefika huko makete barridi yake ya kawaida tuu maake nimezaliwa na kukulia kwenye barrriiiiid na kuponda mbeho yetu wanazingua sana

Kitu mbeho ya mamdenyi unang'aa chezea mbeho
Oyaa! Unapozungumzia mbeho unanikumbusha jinsi mwaka 2004 nilivyopigwa na baridi hadi dushelele likaganda.

Chezea Mbeho weye!
 
Makete na mufindi kule nimekaa lile baridi ni hatari
kama mgeni usijaribu kunywa chai
lodge na bar ndani wanaweka jiko la mkaa!
 
Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.

Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni

Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point
Shuleni tulifundishwa kuwa "KITULO " ndio coldest place in Tanzania

USSR
 
The coldest parts of Tanzania are the Southern Highlands and a few high-altitude areas in the north.
The coldest locations include:
Kitulo Plateau – Often regarded as the coldest area in Tanzania. At over 2,600 meters above sea level, temperatures can drop to 0°C or below on winter nights (June–August), and frost is common.
Njombe – One of the coldest towns in the country, with nighttime temperatures during winter often falling to 2–5°C.
Mbeya – Especially in the higher surrounding areas, winter nights can be very cold, sometimes approaching 0–3°C.
Ngorongoro Highlands – Due to the high elevation, nights are chilly year-round and can occasionally reach around 0°C during the coolest months.
If you're asking about the single coldest place, Kitulo Plateau is generally considered Tanzania's coldest region because of its high elevation and frequent frost.
USSR
 
Mafinga.....nilijifunika na blanketi 3, plus kuva sweta 7 na traki8 lakini bado baridi ilipita...
Mafinga nilikua nasoma primary school, mama yangu mkubwa alikuja kutembea akaja kuniona,kwanza akaanza kulia aliponiona,kesho tu akanibeba na shule ikaishia hapo,hata wazazi wangu hajawaambia kama amenichukua,anasema ningekufa.

Lushoto kule juu Irente baridi lake sio poa,nilienda lipo 3C..,nilikaa kwenye fire place saa 4 usiku hadi asubuhi..
 
Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.

Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni

Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point
Bado hujatembea tz, kama hayo tu ndio unajua yanabaridi
 
Back
Top Bottom